Mangungu agoma kung'atuka Baada ya Simba kula 5G mnara

Mangungu agoma kung'atuka Baada ya Simba kula 5G mnara

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
MANGUNGU AGOMA KUNG'ATUKA SIMBA

"Bodi imefikia uamuzi huo (kusitisha mkataba na kocha) sio mimi. Simba inaongozwa kwa mujibu wa utaratibu. Nijiuzulu kwa sababu gani, kwani timu inafanya vibaya ? Tumepoteza mechi moj tu (dhidi ya Yanga) kwanini hawakusema nijiuzulu wakati tunashinda mfululizo?" Murtza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba

TABULELE [emoji113]
Hamsa [emoji113]
Tabu itaendelea Kwa makolo
 
MANGUNGU AGOMA KUNG'ATUKA SIMBA

"Bodi imefikia uamuzi huo (kusitisha mkataba na kocha) sio mimi. Simba inaongozwa kwa mujibu wa utaratibu........ Nijiuzulu kwa sababu gani, kwani timu inafanya vibaya ? Tumepoteza mechi moj tu (dhidi ya Yanga) kwa nini hawakusema nijiuzulu wakati tunashinda mfululizo ? " Murtza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba

TABULELE [emoji113]
Hamsa [emoji113]
Tabu itaendelea Kwa makolo
Safi sana Murtaza Mangungu. Hakuna kujiuzulu. Sisi Wanasimba tuko pamoja nawe daima. ✋

Na kama wanakulazimisha ujiuzulu, basi wakulipe zile gharama zako ulizotumia kumleta Caesar Manzoki kutoka China, kuwasalimia wapiga kura kwenye ule uchaguzi wa mwaka jana.
 
Safi sana Murtaza Mangungu. Hakuna kujiuzulu. Sisi Wanasimba tuko pamoja nawe daima. [emoji113]

Na kama wanakulazimisha ujiuzulu, basi wakulipe zile gharama zako ulizotumia kumleta Caesar Manzoki kutoka China, kuwasalimia wapiga kura kwenye ule uchaguzi wa mwaka jana.
Yaani analetwa Manzoki kuja kuchagiza habari mkutano, badala ya aletwe kuja kucheza!!

Ama kweli Aden Rage aliona mbali sana.
 
Kama ni hivyo Huyo kocha kafukuzwa Kwa sababu gani? Kwani wakati wanashinda kocha Hakuwa huyu waliyemfukuza baada ya kufungwa Mechi moja?
Timu ikishinda ....pongezi Kwa uongozi

Ikipigwa mnara 5G .....huo ni WA kocha[emoji23][emoji113][emoji113]
 
Kushinda sio kigezo kama Tim inaenda vizuri.

Unashinda kwa Mchezo gani? Mnachezaje mpaka mnashinda?

Pia aina ya upangaji wa vikosi na mbinu za uchezaji.

Wanafki naomba mkae pembeni mtuachie Simba yetu.
 
Huyo Mangungu na mpira wapi na wapi. Ukishaona kiongozi anajisifia kumfunga Yanga halafu hajutii kuukosa ubingwa ujue hamna kiongozi hapo. Hapo kwenye kujiuzulu sahauni badala yake tegemeeni tu kuona watu wakitolewa mbuzi wa kafara kama ilivyo tabia ya wanasiasa wengi. Huyo na mwenzake aliyemshinda kwenye uchaguzi wa mwanzo Nkamia walikuwa wanatafuta kichaka cha kujificha kwa miaka mitano baada ya kupigwa chini kwenye kugombea ubunge. Huyo anasubiri 2025 arudi kugombea ubunge na akiupata basi mtamsikia kwenye bomba. Wanachama wa Simba walifanya kosa la kiufundi kumrudisha huyo mwanasiasa kwenye hiyo nafasi kipindi cha pili cha uchaguzi badala ya kutafuta mtu makini kwenye hiyo nafasi.

Watu wa Simba wanaojua mpira na fitina zake kama wakina Kaburu, Aveva, Julio, Tuli and the likes wanapigwa vita sana kwa kupewa kashfa ya kuwa wapigaji wa fedha. Kama wasiwasi ni upigaji wa fedha wapeni uongozi kwenye vitengo ambavyo havihusiani na fedha ili waisadie timu na kama wakikataa wanachama na mashabiki wenu watajua kweli ni wapigaji vinginevyo hizo ni blah blah tu za kuwaogopa kuwa watafanya vizuri na kuwafunika. Yanga sio wajinga kuwasogeza karibu wakina Davis Mosha and the likes matokeo yanaonekana.

Hapo Simba tangu amefariki Hanspope ambaye alikuwa mkweli na muwazi uongozi umeyumba sana. Hata viongozi makini Magori na Kaduguda hawaonekani front kuongoza jahazi kama zamani sijui wamepigwa pini na hao wasiojua mpira na fitina zake au wamechoka labda kuona ushauri wanaotoa haufanyiwi kazi.
 
Safi sana Murtaza Mangungu. Hakuna kujiuzulu. Sisi Wanasimba tuko pamoja nawe daima. [emoji113]

Na kama wanakulazimisha ujiuzulu, basi wakulipe zile gharama zako ulizotumia kumleta Caesar Manzoki kutoka China, kuwasalimia wapiga kura kwenye ule uchaguzi wa mwaka jana.
[emoji23][emoji23]20billion
 
Safi sana Murtaza Mangungu. Hakuna kujiuzulu. Sisi Wanasimba tuko pamoja nawe daima. [emoji113]

Na kama wanakulazimisha ujiuzulu, basi wakulipe zile gharama zako ulizotumia kumleta Caesar Manzoki kutoka China, kuwasalimia wapiga kura kwenye ule uchaguzi wa mwaka jana.
Kubwa zima kutumia makalio kufikiri haipendezi,au utakuwa kubwa jinga wewe
 
Back
Top Bottom