ONYO alilopewa na Wazee alitafakari na aache kuwa Ndumilakuwili kwani yatamkuta yale yale ya Marehemu Juma Salum.Leo nimeona kwenye tamasha la Simba day, Mo akiwa maarufu, wanasimba walimuimba sana.
Lakini kumbuka Mwenyekiti wa Simba Mangungu hajazunguziwa wa kuzungumza na uwanjani alikuwepo.
Mo alipewa π€ kuongea hadi akaongea mambo binafsi atatambulisha hadi wanafamilia madada, shangazi, wajomba n.k
Wana Simba na mdhamini Mo mnadharau Mangungu,
Team ikiyumba mnamtaka Mangungu aondoke, Leo ushindi wa bonanza Mo ndo kawa shujaa.
Mbumbumbu jitafakar sana
Mo kaongea niniLeo nimeona kwenye tamasha la Simba day, Mo akiwa maarufu, wanasimba walimuimba sana.
Lakini kumbuka Mwenyekiti wa Simba Mangungu hajazunguziwa wa kuzungumza na uwanjani alikuwepo.
Mo alipewa π€ kuongea hadi akaongea mambo binafsi atatambulisha hadi wanafamilia madada, shangazi, wajomba n.k
Wana Simba na mdhamini Mo mnadharau Mangungu,
Team ikiyumba mnamtaka Mangungu aondoke, Leo ushindi wa bonanza Mo ndo kawa shujaa.
Mbumbumbu jitafakar sana
Ni MmatumbiNi Mmakonde
Hapo umbumbumbuni anaonewa sana
Ila hata wewe hujazungumziwaLakini kumbuka Mwenyekiti wa Simba Mangungu hajazunguziwa
Tuheshimiane bwana,,kwani kuna shida?Leo nimeona kwenye tamasha la Simba day, Mo akiwa maarufu, wanasimba walimuimba sana.
Lakini kumbuka Mwenyekiti wa Simba Mangungu hajazunguziwa wa kuzungumza na uwanjani alikuwepo.
Mo alipewa π€ kuongea hadi akaongea mambo binafsi atatambulisha hadi wanafamilia madada, shangazi, wajomba n.k
Wana Simba na mdhamini Mo mnadharau Mangungu,
Team ikiyumba mnamtaka Mangungu aondoke, Leo ushindi wa bonanza Mo ndo kawa shujaa.
Mbumbumbu jitafakar sana
Comrade, hapa umekurupuka. Kwa katiba ya sasa, Yanga haina Mwenyekiti. By the way, mada iliyopo mezani inamhusu Mwenyekiti Murtazar Mangungu!Mwenyekiti upande wa mashabiki wa club ya yanga ni nani? Upande wa mwekezaji ni Hersi
Ameshaambiwa safari hii akimpa Siri Mjomba wake ambaye ndiyo Mganga Mkuu wa Yanga SC na Kiongozi mkubwa katika Serikali ya sasa kikija kumkuta kile kile kilichomtokea aliyekuwa Kiongozi wa Simba SC miaka ya nyuma Marehemu Juma Salum njiani kuelekea Mkoani Dodoma asije Kumlaumu Mtu. Awe makini sana Msimu huu kwani anawindwa zaidi na Nguvu za Nje ( za Kiutamaduni )Mangungu tutamlinda kwa gharama yoyote
Ubaya ubwela ππAmeshaambiwa safari hii akimpa Siri Mjomba wake ambaye ndiyo Mganga Mkuu wa Yanga SC na Kiongozi mkubwa katika Serikali ya sasa kikija kumkuta kile kile kilichomtokea aliyekuwa Kiongozi wa Simba SC miaka ya nyuma Marehemu Juma Salum njiani kuelekea Mkoani Dodoma asije Kumlaumu Mtu. Awe makini sana Msimu huu kwani anawindwa zaidi na Nguvu za Nje ( za Kiutamaduni )
Okay, muwakilishi upande wa asilimia 51 ni nani?Comrade, hapa umekurupuka. Kwa katiba ya sasa, Yanga haina Mwenyekiti. By the way, mada iliyopo mezani inamhusu Mwenyekiti Murtazar Mangungu!
Mtuambie hapa ni kwa nini timu yenu ya simba ikifanya vibaya, shutuma zote anapewa Mangungu! Halafu timu hiyo hiyo ikifanya vizuri, pongezi anapewa Mo!!!
Rais anatoka kwa muwekezaji vipi hawa wenye asilimia 51 nani muwakilishi wao?YANGA Kuna Rais wa club
Soma katiba mpya ya Yanga.
Vyeo vya Mwenyekiti viko umbumbumbuni