Mangungu ana mitihani Simba, kwenye sherehe anaongea Mo, kwenye matatizo lawama Kwa Mangungu

Mangungu ana mitihani Simba, kwenye sherehe anaongea Mo, kwenye matatizo lawama Kwa Mangungu

YANGA Kuna Rais wa club
Soma katiba mpya ya Yanga.
Vyeo vya Mwenyekiti viko umbumbumbuni
Rais wa club wa wanachama au wa mdhamini? Maana juzi amepitisha udhamini wa sh. 1B kwa miaka mitano 😨
 
Leo nimeona kwenye tamasha la Simba day, Mo akiwa maarufu, wanasimba walimuimba sana.

Lakini kumbuka Mwenyekiti wa Simba Mangungu hajazunguziwa wa kuzungumza na uwanjani alikuwepo.

Mo alipewa 🎤 kuongea hadi akaongea mambo binafsi atatambulisha hadi wanafamilia madada, shangazi, wajomba n.k

Wana Simba na mdhamini Mo mnadharau Mangungu,
Team ikiyumba mnamtaka Mangungu aondoke, Leo ushindi wa bonanza Mo ndo kawa shujaa.

Mbumbumbu jitafakar sana
sasa mangungu anatoa pesa?
 
ONYO alilopewa na Wazee alitafakari na aache kuwa Ndumilakuwili kwani yatamkuta yale yale ya Marehemu Juma Salum.
Duh duh 🙄 kumbe habari za usaliti za marehemu Juma Salum unazijua?? Mzee alituumiza sana kwenye dabi yaani maandalizi yalikuwa yanaenda vizuri kwa kila dabi ikibaki siku mbili au Moja anaharibu.
 
Ameshaambiwa safari hii akimpa Siri Mjomba wake ambaye ndiyo Mganga Mkuu wa Yanga SC na Kiongozi mkubwa katika Serikali ya sasa kikija kumkuta kile kile kilichomtokea aliyekuwa Kiongozi wa Simba SC miaka ya nyuma Marehemu Juma Salum njiani kuelekea Mkoani Dodoma asije Kumlaumu Mtu. Awe makini sana Msimu huu kwani anawindwa zaidi na Nguvu za Nje ( za Kiutamaduni )
Yanga akiwafunga 8 hiyo tarehe 8 mwezi wa 8
Mlaumuni Mo, Leo ndo kaongea kama kiongozi wenu wana Simba,
Mangungu ametengwa na Mo.
Hatutaki tabia ya Mo kutokea kwenye neema tu wakati wa magumu haonekani
 
Mwenye pesa hupewa nafasi hata kama Hana Cha kusema.
 
Comrade, hapa umekurupuka. Kwa katiba ya sasa, Yanga haina Mwenyekiti. By the way, mada iliyopo mezani inamhusu Mwenyekiti Murtazar Mangungu!

Mtuambie hapa ni kwa nini timu yenu ya simba ikifanya vibaya, shutuma zote anapewa Mangungu! Halafu timu hiyo hiyo ikifanya vizuri, pongezi anapewa Mo!!!
Analaumiwa kwa Sababu Mangungu ndo CHAWA wa Yanga aliyebakia pale Simba
 
Sio mnyamwezi kweli huyo mzee?
Maana nasikia mzigo mzito mpe mnyamwezi
Mzaramo wa Kisarawe - Tarafa Maneromango - Kata Msanga Kijiji-Bembeza.Huyo anatoka Kijiji kimoja na Sureboy.
 
Watu wengi hasa wa mitandaoni HAWAJUI Simba inaendeshwaje. Na kwasababu hawajui, basi asiyejua mwenzao akiandika kitu wanamuunga mkono kweri kweri!
 
Leo nimeona kwenye tamasha la Simba day, Mo akiwa maarufu, wanasimba walimuimba sana.

Lakini kumbuka Mwenyekiti wa Simba Mangungu hajazunguziwa wa kuzungumza na uwanjani alikuwepo.

Mo alipewa 🎤 kuongea hadi akaongea mambo binafsi atatambulisha hadi wanafamilia madada, shangazi, wajomba n.k

Wana Simba na mdhamini Mo mnadharau Mangungu,
Team ikiyumba mnamtaka Mangungu aondoke, Leo ushindi wa bonanza Mo ndo kawa shujaa.

Mbumbumbu jitafakar sana
Hata kutajwa tu hakutajwa
 
Back
Top Bottom