Mangungu ana mitihani Simba, kwenye sherehe anaongea Mo, kwenye matatizo lawama Kwa Mangungu

YANGA Kuna Rais wa club
Soma katiba mpya ya Yanga.
Vyeo vya Mwenyekiti viko umbumbumbuni
Rais wa club wa wanachama au wa mdhamini? Maana juzi amepitisha udhamini wa sh. 1B kwa miaka mitano 😨
 
sasa mangungu anatoa pesa?
 
ONYO alilopewa na Wazee alitafakari na aache kuwa Ndumilakuwili kwani yatamkuta yale yale ya Marehemu Juma Salum.
Duh duh 🙄 kumbe habari za usaliti za marehemu Juma Salum unazijua?? Mzee alituumiza sana kwenye dabi yaani maandalizi yalikuwa yanaenda vizuri kwa kila dabi ikibaki siku mbili au Moja anaharibu.
 
Yanga akiwafunga 8 hiyo tarehe 8 mwezi wa 8
Mlaumuni Mo, Leo ndo kaongea kama kiongozi wenu wana Simba,
Mangungu ametengwa na Mo.
Hatutaki tabia ya Mo kutokea kwenye neema tu wakati wa magumu haonekani
 
Mwenye pesa hupewa nafasi hata kama Hana Cha kusema.
 
Analaumiwa kwa Sababu Mangungu ndo CHAWA wa Yanga aliyebakia pale Simba
 
Sio mnyamwezi kweli huyo mzee?
Maana nasikia mzigo mzito mpe mnyamwezi
Mzaramo wa Kisarawe - Tarafa Maneromango - Kata Msanga Kijiji-Bembeza.Huyo anatoka Kijiji kimoja na Sureboy.
 
Watu wengi hasa wa mitandaoni HAWAJUI Simba inaendeshwaje. Na kwasababu hawajui, basi asiyejua mwenzao akiandika kitu wanamuunga mkono kweri kweri!
 
Hata kutajwa tu hakutajwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…