Mangungu anaunguruma

Mangungu anaunguruma

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,352
Reaction score
2,036
Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Mangnungu akiongea na waandishi wa habari Oktoba 29, 2026 na kugusia masuala mbalimbali yanayoendelea ndani ya timu hiyo.
 
Sisi mashabiki na wanachama wa simba tuna imani kubwa na mwenyekiti wetu Mangungu.
 
Tatizo kubwa linaletwa na machawa na mashabik8 hoyahoya. Wqtu kila siku wanakosoa mambo ya Simba lakini wanapewa nafasi ya kujiunga kama wanachama lakini bado hawataki wameridhika na posho ya uchawa.
 
Back
Top Bottom