Mangungu hoyeeeee! Eng. Hersi ziiiiiiiii!

Mangungu hoyeeeee! Eng. Hersi ziiiiiiiii!

Mbona huwa Simba ikifanya vibaya Mangungu anapigiwa kelele?
Timu ikifanya usajili mbovu yeye kama mwenyekiti wa timu anatakiwa awahoji wakina try again why wanasajili magarasa lakini yeye huwa anakaa kimya tu wakati yeye ndo muwakilishi wa mashabiki.

Sisi wanachama wa SIMBA tulimchagua mangungu kama mwakilishi wetu timu ikifanya vibaya yeye ndo anatakiwa atupe maelezo yeye ndo sauti yetu.

Msimu huu MO kaamua kusajili mwenyewe baada ya kuona try again anamzingua So MO ndo kila k2
 
Back
Top Bottom