Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa Masoko na akachukua fomu.
Mwingine aliechukua fomu Jana akitaka kumkabili Mangungu ni mtoto wa marehemu Kingunge Ngombare Mwiru aitwae Kinje.
Mangungu hakutaka watu wajue kuwa amechukua fomu kwa sababu anajua wanasimba wengi wamechukizwa na kufungwa na Yanga mara tano tena kombe likiwa uwanjani.
Kila la heri mzee wetu Ila jipange, safari hii Kinje amekuja kivingine, Kinje atawatumia wana chama wa Simba waliopo CCM maeneo ya Tingi, Somanga, Kinjumbi, Chumo, Namayuni, Kipatimu kukuharibia siasa ingawa Mangungu mwenyewe kWa ninavyomjua, sijui kama atashindwa.