Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Ni mwenyekiti tuliyemtaka aendelee kuhudumu pale ukoloni na tumefanikiwa pakubwa, Wanayanga endeleeni kutembea kifua mbele kikubwa ni kutengeneza kabati jingine la makombe, mission imekamilika usiniulize imekamilikaje👏👏👏👏.