M Mtanzanias JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 1,747 Reaction score 3,725 Jan 30, 2023 #1 Ni mwenyekiti tuliyemtaka aendelee kuhudumu pale ukoloni na tumefanikiwa pakubwa, Wanayanga endeleeni kutembea kifua mbele kikubwa ni kutengeneza kabati jingine la makombe, mission imekamilika usiniulize imekamilikaje👏👏👏👏.
Ni mwenyekiti tuliyemtaka aendelee kuhudumu pale ukoloni na tumefanikiwa pakubwa, Wanayanga endeleeni kutembea kifua mbele kikubwa ni kutengeneza kabati jingine la makombe, mission imekamilika usiniulize imekamilikaje👏👏👏👏.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Jan 30, 2023 #2 Nyie wenye rangi ya kinyoka nyoka🫣🫣
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 30, 2023 #3 Simba ina shida ya kuongozwa na watu wale wale... Hukawii baada ya huyu kuondoka akaja Kaduguda, Dalali au Rage...
Simba ina shida ya kuongozwa na watu wale wale... Hukawii baada ya huyu kuondoka akaja Kaduguda, Dalali au Rage...
B BabuMkubwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2017 Posts 2,417 Reaction score 3,590 Jan 30, 2023 #4 WanaYanga tunahusikaje,au mnahisi tuliweka kamkono ili arudi.
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Jan 30, 2023 #5 denooJ said: Nyie wenye rangi ya kinyoka nyoka🫣🫣 Click to expand... Yes nyoka mwenye sumu kali
M Mtanzanias JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 1,747 Reaction score 3,725 Jan 30, 2023 Thread starter #6 denooJ said: Nyie wenye rangi ya kinyoka nyoka🫣🫣 Click to expand... Wenye nyoka nyoka wataendelea kuwapelekea moto mpaka akili zitawakaa sawa, Mangungu chapa kazi
denooJ said: Nyie wenye rangi ya kinyoka nyoka🫣🫣 Click to expand... Wenye nyoka nyoka wataendelea kuwapelekea moto mpaka akili zitawakaa sawa, Mangungu chapa kazi