Mangungu: Kikao chetu Simba tumejadili maendeleo ya mpira, siyo mjadala wa mechi ya dabi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Murtaza Mangungu mwenyekiti wa Simba SC baada ya kutoka Kikaoni na Serikali, TFF na Bodi ya Ligi amesema;

"Kikao chetu sisi kimejadili maendeleo ya mpira hakijajadili walichojadiana na wenzetu, tungejadili mechi yetu tungeitwa kwa pamoja ila mamlaka si ilishasema mechi yetu itapangiwa tarehe nyingine."

"Sisi tumejadili maendeleo ya soka Tanzania, Kikao chetu sisi hakihusiani na chao kama kingehusiana na chao tungekaa pamoja hivyo wao ndio wanajua walichozungumza na Waziri na sisi ndio tunajua tulichozungumza na Waziri."

IMG_3736.jpeg

Kuhusu Yanga > Eng. Hersi, Arafat wamaliza kikao na Serikali, watoa ujumbe kwa Wanachama wa Yanga SC

Simba bwana mnaacha kumuwaza AL MASRY bado mnaiwaza yanga sis 2po kwa ajil ya kuwacheka mkifungwa penati fc
 
View attachment 3285076

Kuhusu Yanga > Eng. Hersi, Arafat wamaliza kikao na Serikali, watoa ujumbe kwa Wanachama wa Yanga SC
Huyu mzee ni empty kabisa upstair😀sijawah kumsikia akiwa seriously hata siku 1, ndiyo alileta zile sarakasi za Manzoki kwenye mkutano mkuu, propaganda ndiyo maisha anaishi yan, sishangai akihonga wachambuzi kupiga propaganda🤣
 
Simba bwana mnaacha kumuwaza AL MASRY bado mnaiwaza yanga sis 2po kwa ajil ya kuwacheka mkifungwa penati fc
Akili hizi ndio mana ccm inawatumia wajinga wa aina yako kama mtaji wa kisiasa..
Tangu hili sakata limeanza Simba katoa tamko mara Moja tu Tena kupitia barua Moja tu. Yanga wamehangaika na matamko zaidi ya 34 , la leo la injinia wenu wa mchongo ni la 35. Sasa hapo anaehamgaika na derby ni nani? Simba walikua na mechi leo wamemaliza kwa ushindi mnono na hapa hata zege halilali wanaenda airport kukwea pipa , hawana muda na mambo ya kipuuzi.
 
Yaani tuna0ngelea mpira unaleta mambo ya CCM mpira na siasa du!
 
Back
Top Bottom