Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Yaani Viongozi wanaoiongoza Simba ni majanga.Huyo mangungu hata mashujaa hawawezi mpa uwongozi ajabu ndiyo mwenyekiti wa club na 9 Africa.Nikikumbuka issue ya Manzoki alivyomleta kwenye mkutano wa Simba kwaajili ya kampeni kuhadaa watu .Simba chini ya kina Mangungu na wenzake haitokaa ifanikiwe .