Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Malizia kabisa aliyetenga ni naniii?Ni kweli anayefuata kuumizwa ni Baleke na akivunjwa kabisa mguu mvunjaji ametengewa 50m yake kabisa.
Pole sana kwa kuwa Mke wa Mtu na mitoto yako inayokuita Mama.Usikute wewe ni mke wa mtu na mitoto inakuita mama !
Huwa najiuliza km huyu ni ZUZU na ni kiongozi means ni kiongozi wa MAZUZU ?Miongoni mwa viongozi mazuzu...kwenye Simba Sc ni huyu mwamba....huyu si alisemaga kwamba malengo yetu ilikuwa ni kumfunga mtani....na tumefanikisha....kwl huyu ni zuzu.....
Hiyo kampeni hakufanyie nan wakati huna rotation ya wachezaj kila mechi ni hao hao....HAWACHOKI.....???
MangumbuHuyu anaitwa mangungu au mbumbumbu?naomba KUJUA Ili nikomenti
Kiongozi mkubwa halafu Zuzu.Anaeza sema hata ajali ya Che Malone ,ni hujuma imepangwa
Unadhani anaowaongoza watakuaje?Kiongozi mkubwa halafu Zuzu.
Ghalib
Kutaniwa kidogo tu umeamza kubleed !!Pole sana kwa kuwa Mke wa Mtu na mitoto yako inayokuita Mama.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app