Kwahiyo mna kombe la kumfunga yanga..!! Aisee..!! Kama mwenyekiti lengo lake ni kumfunga Yanga pekee, NO WONDER HAMJABEBA KOMBE HATA MOJA..!!Sasa kwani uwongo???si mmekandwa kenge nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnataka mjifariji kwa lipi sasa?
Kibu dengaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Aina hii ya mashabiki pamoja na mwenyekiti wao Mangungu, ndiyo inawafanya mashabiki wote wa simba kuonekana ni mbumbumbu.Sasa kwani uwongo???si mmekandwa kenge nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnataka mjifariji kwa lipi sasa?
Kibu dengaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wewe hujawahi kumiliki akili mpaka uuto huo mwiko huko nyumaAina hii ya mashabiki pamoja na mwenyekiti wao Mangungu, ndiyo inawafanya mashabiki wote wa simba kuonekana ni mbumbumbu.
tuanapiga hatua mbili na kurudi kumi na kujipongeza [emoji122][emoji122][emoji122]Sasa kwani uwongo???si mmekandwa kenge nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnataka mjifariji kwa lipi sasa?
Kibu dengaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nguvu moyaaaaMangungu forever Simba nguvu moja [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Uwe unaelewa wewe mleta mada " KWENYE HILO""Niliwaahidi mashabiki wa Simba kuwa msimu huu lazima tumfunge Yanga na tumemfunga tukafurahi wote, kwenye hilo mashabiki wa Simba Hawanidai"
Murtaza Mangungu Mwenyekiti wa Simba SC
Kuna anayemdai mwenyekiti huko nyuma?
View attachment 2624858