Wapi kasema lengo lake ni kumfunga yanga pekeee?Kwahiyo mna kombe la kumfunga yanga..!! Aisee..!! Kama mwenyekiti lengo lake ni kumfunga Yanga pekee, NO WONDER HAMJABEBA KOMBE HATA MOJA..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi kasema lengo lake ni kumfunga yanga pekeee?Kwahiyo mna kombe la kumfunga yanga..!! Aisee..!! Kama mwenyekiti lengo lake ni kumfunga Yanga pekee, NO WONDER HAMJABEBA KOMBE HATA MOJA..!!
Kataja fanikio gani jingine?Wapi kasema lengo lake ni kumfunga yanga pekeee?
Sasa kama kafanikiwa hilo unataka aseme na asiyofanikiwa mumuite muongo?Kataja fanikio gani jingine?
Ndo kafanikiwa alilolipanga. Labda na kumleta Manzoki kwenye uchaguzi..!!Sasa kama kafanikiwa hilo unataka aseme na asiyofanikiwa mumuite muongo?
Jamaa katisha na akawaletea Manzoki akawapa salam."Niliwaahidi mashabiki wa Simba kuwa msimu huu lazima tumfunge Yanga na tumemfunga tukafurahi wote, kwenye hilo mashabiki wa Simba Hawanidai"
Murtaza Mangungu Mwenyekiti wa Simba SC
Kuna anayemdai mwenyekiti huko nyuma?
View attachment 2624858
Tatizo letu midomo yetu na akili zetu hatujaiwekeza kwenye soka la uwanjani bali soka la mdomoni ,fitna n.k....unasubiri fulani aseme jambo wewe upate kuligeuzageuza maana na lengo lililokusudiwa ili ufurahishe nafs yako,au unasubiri mtu ateleze/akosee kidogo ktk mazungumzo ushikilie hapohapo na ugeuze fimbo ya kumchapia.......soka la bongo lina aina ya washabiki wapuuzipuuzi ambao huwezi kukuta duniani kote.Wapi kasema lengo lake ni kumfunga yanga pekeee?
Tatizo sio mashabiki, tatizo uongozi. Hivi hawa viongozi waliwezaje kumleta Manzoki kipindi kile wanatafuta kura ili kushibisha matumbo yao badala ya kuwa wamemsajili wakati wa dirisha la usajili? Inamaana walimleta u tuone wao ni miamba kumbe ujinga mtupu.Mashabiki wa simba ndo wanaoharibu timu yao