MANGUNGU: Niliwaahidi mashabiki wa Simba kuwa tutaifunga Yanga, hivyo hawanidai

Kwahiyo mna kombe la kumfunga yanga..!! Aisee..!! Kama mwenyekiti lengo lake ni kumfunga Yanga pekee, NO WONDER HAMJABEBA KOMBE HATA MOJA..!!
Wapi kasema lengo lake ni kumfunga yanga pekeee?
 
Wapi kasema lengo lake ni kumfunga yanga pekeee?
Tatizo letu midomo yetu na akili zetu hatujaiwekeza kwenye soka la uwanjani bali soka la mdomoni ,fitna n.k....unasubiri fulani aseme jambo wewe upate kuligeuzageuza maana na lengo lililokusudiwa ili ufurahishe nafs yako,au unasubiri mtu ateleze/akosee kidogo ktk mazungumzo ushikilie hapohapo na ugeuze fimbo ya kumchapia.......soka la bongo lina aina ya washabiki wapuuzipuuzi ambao huwezi kukuta duniani kote.

HATUISHI KATIKA UHALISIA (REALITY)
 
Tangu Mangungu alipokuja na plan ya kumleta Manzoki katika Mkutano mkuu wa wanachama wote na plan yake ikafanikiwa, Kwa kushinda Uchaguzi nika amini Mangungu alii ifanyia tasmini kauli ya Rage dhidi ya Wana Simba na kuthibisha Rage alikua sahihi.

Popote mwana falsafa Ismail Aden Rage ulipo, unastahili upewe Maua yako na ujengewe mnara mahala pajuu palipo inuka pale Bunju, ikawe kumbukumbu ya vizazi na vizazi apo msimbazi.
 
WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Mashabiki wa simba ndo wanaoharibu timu yao
Tatizo sio mashabiki, tatizo uongozi. Hivi hawa viongozi waliwezaje kumleta Manzoki kipindi kile wanatafuta kura ili kushibisha matumbo yao badala ya kuwa wamemsajili wakati wa dirisha la usajili? Inamaana walimleta u tuone wao ni miamba kumbe ujinga mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…