Mangungu: Nitatoa pesa za usajili Kwa maslahi mapana ya timu

Mangungu: Nitatoa pesa za usajili Kwa maslahi mapana ya timu

Hivi mnaomlaumu Mangungu mna akili kweli?? yeye ndie alichaguliwa wengine wote wanakabidhiana Vyeo kama kugawa pipi,,,Yaani Try Again anaamua tu kusema ooh NAJIUZULU halafu anasema MO arudi aje awe Mkiti wa Bodi hapo hapo Mo anasema TRY AGAIN ni mjumbe wa bodi. BODI IPI??? Mwenyekiti wa Bodi akijiuzulu Bodi inayobaki ni ipi??? Hivi nyie mbona mnatuona sisi mafala sana kama serikali inavyowaona Watanganyika??
Usiingize serikali kwenye mambo ya kinganda nganda
 
Kama uelewi unauliza pale simba kuna kampuni mbili zinazounda Bodi ya wakurugenzi, Simba SC na Mo Simba Co Ltd ambapo unapata Simba Sports Club Company Ltd

Mo na Try Again wameteuana kwenye kamapuni yao zi dhambi wala hawajakiuka sheria au katiba
Nyie machawa ndio chanzo cha yote haya hata kama mtu huna akili huwezi kuona huo ni utoto? Try again amejihuzuru baade anamteua Mo hio power kaitoa wapi? wakati Mo nae alie teuliwa na mtu alie jihuzuru anateua mtu hapo bado hauoni kuna utata?
 
Unaanisha Nini mkuu[emoji23][emoji91]
Laban yani unafuraha mnoo mnooo I can imagine yaniii... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 katk watu waliofurahia anguko letu ni wewe mwaisa...yani unakenua tuu..usiku unalala unawaza kesho niandike nini kuhusu Simba...ubwa wewe....
 
Hii Simba wangeigawa mara mbili. Simba Mangungu na Simba MO. Kama zamani si kulikuwa na Simba na Small Simba. Baada ya mgawanyo huo kila mmoja afanye analotaka sasa. Mashabiki wa Simba mtachagua upande mnao taka.Tumechoka na mivutano yao isiyo na tija.
 
Hizo HISA alizinunua lini? B 20 hazijawekwa kwenye akaunt ya SIMBA
Wewe kichaa! Sasa hapo mimi nimesema nini na wewe unasema nini! Ebu rudia kusoma tena na tena unioneshe niliposema tofauti na hiyo kauli yako.
Nimesema angekuwa na haki au mamlaka ndani ya Simba iwapo angekuwa amelipia zile hisa lakini kwakuwa mpaka sasa hajalipia hizo hisa anakosa mamlaka,sasa sijui unanikosoa wapi! Kabla hujamjibu mtu jaribu kuelewa hicho kilichoandikwa sio unakurupuka tu.
 
Laban yani unafuraha mnoo mnooo I can imagine yaniii... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] katk watu waliofurahia anguko letu ni wewe mwaisa...yani unakenua tuu..usiku unalala unawaza kesho niandike nini kuhusu Simba...ubwa wewe....
Hapa Mkuu....hapa penyewe nipo nalia [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Tunahitaji Simba imara......Ili Yanga iwe imara zaidi ([emoji23][emoji23][emoji125])
 
Back
Top Bottom