Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa lazima utaratibu wa uchaguzi ndani ya Simba lazima ufatwe
Aidha Mangungu ameeleza kuwa hata kama haunipendi utavimba, utapasuka utachanika lakini yeye ndio Mwenyekiti.
Aidha Mangungu ameeleza kuwa hata kama haunipendi utavimba, utapasuka utachanika lakini yeye ndio Mwenyekiti.