Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kutoka KaweSi mlitaka katiba mpya ya simba na wala hamjui kilichomo ndani kinasemaje mpaka msimuliwe na milard ayo😃
Haya mangungu anawapa somo si mlizoea mambo ya kiholela holela mguseni awasomee vifungu ninyi mbumbumbu fc
Huyu mzee tantalila nyingi pasipo maamuzi!Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa lazima utaratibu wa uchaguzi ndani ya Simba lazima ufatwe
Aidha Mangungu ameeleza kuwa hata kama haunipendi utavimba, utapasuka utachanika lakini yeye ndio Mwenyekiti.
Anaipambania timu huna Hela za kulipa mishahara ya wachezaji na menejiment si ujinga huo? Hizo ni kelele kama kelele nyinginezo zitapita na uchaguzi tutafanya ukalee vijukuu hukoIpo siku mtamkumbuka, mzee anaipambania tim ibaki mikononi mwa wanasimba ila mashabiki wanamwona mnafki! Haya