Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii halmashauri ya kichwa inaweza fikia stage ikawa kama corrupted CPU,hata uweke anti virus gani,hakuna namna zaidi ya kushusha Windows..Ni kweli,ila nimejaribu kuwaza tu,ni bora angepiga suicide prevention life line,pengine leo tungekuwa nae
Vaswahili pangu pakavu tia mchuzi kifo tunakiogopa huyo mboga saba kakifuata kwa shuruti hapa mara nyingi watuhumiwa wa kwanza huwa ni sheitwan na mdogo wake stress.Sasa huyo kajiua
Alafu kama vijisenti vilikuwa
Havimpigi chenga,lkn kajimaliza
Depression ni noma
Ova
Ndo maana nasema ibada ni muhimu.Stress
Ila wenzetu wapo next level mpaka sijui prevention life kwa suicide bongo unajinyonga tunakata kamba ,mabanzi ya kutosha na jamhuri anakusubiriNi kweli,ila nimejaribu kuwaza tu,ni bora angepiga suicide prevention life line,pengine leo tungekuwa nae
[emoji28][emoji28][emoji28],Yaani tuna shida,mtu anamatatizo kibao mpaka haoni thamani ya utu wake anaamua kujinyonga,asipofanikiwa eti unamshtaki mahakamani badala la kumsaidia.Ila wenzetu wapo next level mpaka sijui prevention life kwa suicide bongo unajinyonga tunakata kamba ,mabanzi ya kutosha na jamhuri anakusubiri
Wabongo tutafika kwa muumba wetu tukiwa totally exousted
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maamaaae zake so atafanya doria au roll call kila mji kujua nani ana malice ya kujinyonga[emoji28][emoji28][emoji28],Yaani tuna shida,mtu anamatatizo kibao mpaka haoni thamani ya utu wake anaamua kujinyonga,asipofanikiwa eti unamshtaki mahakamani badala la kumsaidia.
Kuna Kamanda mmoja huko Tabora eti alisema anaanzisha doria ya watu wanaotaka kujinyonga ili awakamate,utadhani mtu anayetaka kujinyonga huwa anabadilika rangi[emoji3]
IsolationHivi kwanini watu wa huko wanamsongo wa mawazo sana mpaka wanapelekea kujiua,haya matukio marekani,ulaya,Japan yamezid sana, na wengi wanafanya hadi therapy na wengine wanatumia ant-depressant drugs,utakuta kijana wa miaka 20 kashaanza kutumia hizi dawa
Kuna nini hapo Tanganyika Legion?Maamaaae zake so atafanya doria au roll call kila mji kujua nani ana malice ya kujinyonga
Hivi vitu bongo vipo chini ya ustawi wa jamii ila sasa implementation ndio shida
Nenda pale fire kwenye kiwanja cha Tanganyika legion uone kinacho endelea
Sad
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hivi huko hakunaga sumu ya panya mbona katumia njia ya kikatili sana!
🙄Yaani wewe Mbinguni utakusikia tu, hata kwa miguu ufiki
Hapo kulitakiwa kujengwe kitega uchumi kuwasaidia war veterans na generation zaoKuna nini hapo Tanganyika Legion?