Manifesto ya NASA na Jubilee


Hata mimi pia huwa najitathmini, kweli haya mambo yananikera, yananiuma sana kuona jinsi pesa za uma inavyopunjwa na hawa. Lakini je,.......najitia tu kwenye kiatu cha huyu rais wetu....hivi kweli ningefanyaje?

Hawa mafisadi wote ndio walinisadia kwa hali na mali kupatia uadhifa huu, nikiwachukulia hatua, si huenda nikapoteza uungwaji mkono na watu wa eneo lao? Na je, si kuna wafuasi wao serikalini ambao huenda wakani- undermine kisiasa?

Nami nataka kushinda tena kwenye uchaguzi ujao. Ama kama nilichukua uongozi kupitia mapinduzi, huenda hawa walionisaidia wakanigeuka hata kuniua!

Haiwezekani!!!
 
Mzae pia mimi ni mkenya na kila mtu huku anakuanga na haki ya kutoa maoni kulingana na katiba
Whaat! Kumbe wewe mkenya?

Haya, enda ongea hivo mbele ya rende fulani ya Nasa uone. Wewe na hiyo free speech yako utapigwa!
 
Kua na msimamo acha kigeugeu kipi kimekupindisha na kukubali Uhuru aendelee kua Rais, Twataka mabadiliko sio ahadi finyu za TUMBILEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…