alley omar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 277
- 37
Hivi wapenzi/wanandoa wakishiriki tendo la ndoa zile mbegu za kiume zote zinazomwagwa huwa zinaenda kukaa wapi kwenye mwili wa mwanamke?
Inasemekana for a single ejaculation mwanaume anazalisha mamilioni ya mbegu hizo. Hata kama ni kwa mimba lakini kwa mamilioni hayo ni wazi kuwa nyingne nying znabaki bila kazi.
Swali ni je, zinazobaki huwa zinaenda kukaa wapi na kwa mda gani? Je kuna kazi nyingne zinafanya kwenye mwili wa mwanamke?