Manii zinaenda wapi baada ya kuingia kwenye mwili wa mwanamke?

alley omar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
277
Reaction score
37
Hivi wapenzi/wanandoa wakishiriki tendo la ndoa zile mbegu za kiume zote zinazomwagwa huwa zinaenda kukaa wapi kwenye mwili wa mwanamke?

Inasemekana for a single ejaculation mwanaume anazalisha mamilioni ya mbegu hizo. Hata kama ni kwa mimba lakini kwa mamilioni hayo ni wazi kuwa nyingne nying znabaki bila kazi.
Swali ni je, zinazobaki huwa zinaenda kukaa wapi na kwa mda gani? Je kuna kazi nyingne zinafanya kwenye mwili wa mwanamke?
 
jamii doctors ndipo utapata jibu
 
Kuna thread nyingine sawa kabisa na hii na bado ipo active kabisa. Pata majibu huko!
 
Back
Top Bottom