Manisapaa ya Mtwara-Mikindani wameamua kujinunulia basi lao la 178m

Haika Kimaro

Member
Joined
Dec 25, 2025
Posts
12
Reaction score
42
Screenshot_20260120-130123_Instagram.jpg
 
Hawana ukusanyaji huo wa mapato kuwezesha kununua walau hiace tu!

Nilikuwa hapo mikindani (Dangote Group) 2013-15 kikazi...I know what am saying....

Dangote kawawezesha....

Napajua sana hapo!... Dangote ni baba yao wa hiyari baada baba yao wa damu serikali kuwatelekeza!....

Hawasemi ukweli ILI SIFA ZIENDE KWA MAMA YAO!
 
Mapato Yao ni kiasi gani chief?
 
Back
Top Bottom