Hawana ukusanyaji huo wa mapato kuwezesha kununua walau hiace tu!
Nilikuwa hapo mikindani (Dangote Group) 2013-15 kikazi...I know what am saying....
Dangote kawawezesha....
Napajua sana hapo!... Dangote ni baba yao wa hiyari baada baba yao wa damu serikali kuwatelekeza!....
Hawasemi ukweli ILI SIFA ZIENDE KWA MAMA YAO!