Manispaa hawajaingiza mshahara wangu

Manispaa hawajaingiza mshahara wangu

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
630
Reaction score
257
habari zenu wana jf,mimi ni mwl wa manispaa ya kinondoni.Miezi miwili iliyopita manispaa waliniingizia pesa ya likizo ,kwa bahati nzuri au mbaya walinizidishia pesa.Baada ya wk 1 nikapigiwa sm na watu wa manispaa kunitaarifu walikosea wakaniingizia pesa ya mtu mwingine! Niliwaambia ngoja niende bank wanipe bank statement ndo niwasiliane nao.Toka hapo sikufanya nao mawasiliano tena! Sasa leo wemzangu wote tunaofanya nao kazi wameshapata mishahara yao na wote mishahara inapitia NMB.
Wandugu nipo nawaza,isiwe ndo wamesha kata juu kwa juu.Je, ikiwa ndo wamekata pesa yao nifanye nini?
Mshahara wangu ndo nautegemea kutunza familia.NAOMBENI MNISHAULI NINI CHA KUFANYA.

Samahani kwa muandiko mbaya.
 
Hesabu maumivu tu mwalimu, watakuwa wamechukua chao....pole
 
We mwalimu acha ukilaza ulivyokula pesa ya watu ukaona umepaata ukabadili na laini ya simu,haya sasa utakula chumvi mwezi huu!!hata sikuonei huruma ndo washakata chaoo!! Ha ha poleee!!!!
 
Kwani nimeiba? nielekeze ningezipeleka wapi,mbona nawadai malimbikizo yangu mengine pesa nyingi tu.Ngoja waungwana waje watanishauli.
 
Wamekata! Haiwezekani, watakataje? (Airtel)

Ulitarajia nini? Ndio wamechukua cha kwao.
 
Haaaaahaaa pole sana ndio washakata hivyo cheki na Mangi maisha yaendelee,mi nakumbuka wali-flood mahela kwenye akaunti yangu nikaa almost 3 weeks yapo tu nikasafisha akaunti kilichofuata waliposhtuka wakaniomba niingie kwenye mkopo maana ilikua salary akaunti ingawa walipunguza figure niligoma kulipa yote,pole sana.
 
wew ukiwa kama mfanyakazi, unategemea mshahara ili ukidhi mahitaji yako ikiwemo naul ya kwenda kazini, wew nenda kwa afisa utumishi mueleze kuwa hujapata mshahara, akieleza juu ya hiyo hela mwambie ulijua umelipwa malimbikizo hv ukatumia, lakin komaa nao na mshirikishe mkuu wa shule yako, utasaidiwa.
 
Kwani nimeiba? nielekeze ningezipeleka wapi,mbona nawadai malimbikizo yangu mengine pesa nyingi tu.Ngoja waungwana waje watanishauli.
Ungezirudisha zilikotoka, pesa tamu ha ha ha
 
Wakati wenzio wakipongezwa raisi kwa kujituma
Ww umepongezwa kwa style yake
Nakuona jins utakavyokuwa umenuna mwezi huu......

Alafu ukute ni mtu wa kujidai ukishapata mshahara kula bata na kusumbua watu.

Safari hii imekula kwako.
 
wew ukiwa kama mfanyakazi, unategemea mshahara ili ukidhi mahitaji yako ikiwemo naul ya kwenda kazini, wew nenda kwa afisa utumishi mueleze kuwa hujapata mshahara, akieleza juu ya hiyo hela mwambie ulijua umelipwa malimbikizo hv ukatumia, lakin komaa nao na mshirikishe mkuu wa shule yako, utasaidiwa.
Nashukuru kwa ushauri.Nimeenda manispa ofice ya mshahara,wanasema mimi ni mtoro(uongo) ! wakanambia niende office ya elimu,kule wanasema eti waliniita tuongee jinsi ya kuludisha hizo pesa sikuja.
 
habari zenu wana jf,mimi ni mwl wa manispaa ya kinondoni.Miezi miwili iliyopita manispaa waliniingizia pesa ya likizo ,kwa bahati nzuri au mbaya walinizidishia pesa.Baada ya wk 1 nikapigiwa sm na watu wa manispaa kunitaarifu walikosea wakaniingizia pesa ya mtu mwingine! Niliwaambia ngoja niende bank wanipe bank statement ndo niwasiliane nao.Toka hapo sikufanya nao mawasiliano tena! Sasa leo wemzangu wote tunaofanya nao kazi wameshapata mishahara yao na wote mishahara inapitia NMB.
Wandugu nipo nawaza,isiwe ndo wamesha kata juu kwa juu.Je, ikiwa ndo wamekata pesa yao nifanye nini?
Mshahara wangu ndo nautegemea kutunza familia.NAOMBENI MNISHAULI NINI CHA KUFANYA.

Samahani kwa muandiko mbaya.

Vp! ushaingiziwa?
 
Back
Top Bottom