habari zenu wana jf,mimi ni mwl wa manispaa ya kinondoni.Miezi miwili iliyopita manispaa waliniingizia pesa ya likizo ,kwa bahati nzuri au mbaya walinizidishia pesa.Baada ya wk 1 nikapigiwa sm na watu wa manispaa kunitaarifu walikosea wakaniingizia pesa ya mtu mwingine! Niliwaambia ngoja niende bank wanipe bank statement ndo niwasiliane nao.Toka hapo sikufanya nao mawasiliano tena! Sasa leo wemzangu wote tunaofanya nao kazi wameshapata mishahara yao na wote mishahara inapitia NMB.
Wandugu nipo nawaza,isiwe ndo wamesha kata juu kwa juu.Je, ikiwa ndo wamekata pesa yao nifanye nini?
Mshahara wangu ndo nautegemea kutunza familia.NAOMBENI MNISHAULI NINI CHA KUFANYA.
Samahani kwa muandiko mbaya.