Manispaa Kigamboni, mnatakiwa kujitathmini kama hiyo kazi mnaweza kuifanya hapo ofisini

Manispaa Kigamboni, mnatakiwa kujitathmini kama hiyo kazi mnaweza kuifanya hapo ofisini

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,104
Reaction score
4,090
Majuzi katika pita pita zangu mtandaoni nikaona tangazo la viwanja Manispaa ya Kigamboni huko Pemba Mnazi kuwa Kuna viwanja wataanza kugawa na blaa blaa kibao.

Basi bwana nikaona kama fursa lakini nikaona ngoja niende kwenye comments nilichokutana nacho nimeona mpaka aibu na comments zote ni negatives labda tu assume wana singiziwa basi. Yaani Watanzania sijui nani alituroga ni ubabaishaji tu kila sehemu Mpaka kwenye vitu vya msingi

Kumbe hawa mabwana walishatangaza viwanja miaka mitatu nyuma na hela wakapewa na hati za umiliki hawajatoa mpaka leo na bado wanatangaza vingine watu waende tena? Huu ni upuuzi wa hawa watu manispaa ya kigamboni.

kiga.jpg

Screenshot_20260531_092214_Instagram.jpg
Screenshot_20260531_092141_Instagram.jpg
 
Majuzi katika pita pita zangu mtandaoni nikaona tangazo la viwanja manispaa ya kigamboni huko pemba mnazi kuwa Kuna viwanja wataanza kugawa na black blaa kibao. Basi bwana nikaona kama fursa lakin nikaona ngoja niende kwenye comments nilichokutana nacho nimeona mpaka aibu na comments zote ni negatives labda tu assume wana singiziwa basi. Yan watanzania sijui nani alituroga ni ubabaishaji tu kila sehemu Mpaka kwenye vitu vya msingi
Kumbe hawa mabwana walishatangaza viwanja miaka mitatu nyumba na hela wakapewa na hati za umiliki hwajatoa mpaka leo na bado wanatangaza vingine watu waende tena ? Huu ni upuuzi wa hawa watu manispaa ya kigamboni

View: https://www.instagram.com/reel/DYzrda7sWn2/?igsh=OTZzM3ZkOThyaTht
Screenshot_20260531_093138_Instagram.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20260531_092214_Instagram.jpg
    Screenshot_20260531_092214_Instagram.jpg
    243 KB · Views: 12
  • Screenshot_20260531_092141_Instagram.jpg
    Screenshot_20260531_092141_Instagram.jpg
    179.2 KB · Views: 15
Kigamboni ardhi kamwe hakuna mtu atakayenishawishi kuwa hakuna mkono wa mtu mkubwa serikalini zaidi ya Manispaa. Pale pameoza na kuna kampuni za Real estate mimi nazijua zipo chini ya wapimaji wa Kigamboni.
Kigamboni manispaa, is bigger than it seems.
 
Kivip mkuu? Tulionunua kwenye real estate company tukahakiki ama?
 
Kivip mkuu? Tulionunua kwenye real estate company tukahakiki ama?
Hapana, nila ni conflict of interest. Ukiiba ardhi, ukaipima ukaanzisha kampuni ya kuuza viwanja na ukaingia ubia na serikali ni vigumu sana kuishtaki serikali kwa sababu ni kama unanunua utetezi wa attorney general.
Hapo hawa wazee wanaoibiwa ardhi na hawa ma-surveyor ndio huwa wanashindwa.
 
Mijizi serikali ya kigamboni chini y CCM.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom