Kivip mkuu? Tulionunua kwenye real estate company tukahakiki ama?Kigamboni ardhi kamwe hakuna mtu atakayenishawishi kuwa hakuna mkono wa mtu mkubwa serikalini zaidi ya Manispaa. Pale pameoza na kuna kampuni za Real estate mimi nazijua zipo chini ya wapimaji wa Kigamboni.
Kigamboni manispaa, is bigger than it seems.
Hapana, nila ni conflict of interest. Ukiiba ardhi, ukaipima ukaanzisha kampuni ya kuuza viwanja na ukaingia ubia na serikali ni vigumu sana kuishtaki serikali kwa sababu ni kama unanunua utetezi wa attorney general.Kivip mkuu? Tulionunua kwenye real estate company tukahakiki ama?