A
Anonymous
Guest
Manispaa ya Ilemela Mwanza, Kata ya Ilemela kuna Mtendaji anakusanya michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za mwenge, wanapita katika ofisi na taasisi mbalimbali kuomba michango hiyo.
Sasa swali langu ni kwamba Serikali Kuu haina bajeti ya kufanikisha mbio za mwenge? Hadi kufikia hatua ya kuchangisha mitaani?
Na kuna fomu au barua ambayo wanakupa kuhamasisha michango hiyo. Naomba wahusika watufafanulie hili...