Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Sio kiswahil tu Kuna wengine hawajui kusoma Wala kuandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu ni wilaya iliyopo mwanzaa...hilo linaweza kuwa kwl kweny mawasiliani cz hata igoma hapa wapo ambao kiswahili kinawapa shida..zaid ni kwa wazeeKumbe kisesa iko jiji la mwanza? Mimi nilidhani iko ndani ya wilaya ya Magu.
Mtu kama huyo ukimlazimisha kujua Kiswahili huenda maisha yake yakayumba vibaya, kutojua Kiswahili ndiyo salama yakeNimecheka sana ITV karne hii kuna watu hawajui kiswahili.
Karani wa sensa amekuwa katika wakati mgumu leo kuelewana na mwananchi.
Kila akiulizwa anajibu nahene jawiza mayo. Hapo ni kisesa ,ndani ya manispaa kabisa nauli 600 kwenda mjini, sio kijijini
Kisesa iko wilayani Magu usipotosheNimecheka sana ITV karne hii kuna watu hawajui kiswahili.
Karani wa sensa amekuwa katika wakati mgumu leo kuelewana na mwananchi.
Kila akiulizwa anajibu nahene jawiza mayo. Hapo ni kisesa ,ndani ya manispaa kabisa nauli 600 kwenda mjini, sio kijijini
Kwani ni wote wanajua kiingereza pale New York City?Uulizwe kingereza ujibu kwa kilugha chako ukiwa new york city
Hapana ,majority wanaongea kimakondeKwani ni wote wanajua kiingereza pale New York City?
Kuna swala la kutumia simu pangusa pia kujaza data na sio karatasiKwa hiyo huyo karani siyo mzawa wa Mwanza aliwezaje kupata hiyo nafasi wakati hajui lugha ya mawasiliano mahala anapoenda kufanya sensa ..
Hao jamaa wamefanya makusudi kwa kuwaa ajora za sensa hazikuzingatia wanufaika wa maeneo husika.
Wala siyo la Kushangaa bali tujishangae sisi kumchukuwa Mtu kutoka Kigoma kwenda kufanya kazi ya Ukarani usukumani tena kwenye Eneo ambalo hajawahi kulikanga wala kuishi maeneo husika
Ni Magu,sema ndiyo ipo mpakani na jiji.Kumbe kisesa iko jiji la mwanza? Mimi nilidhani iko ndani ya wilaya ya Magu.
Makarani wa mchongo wanaumbuka fieldKwa hiyo huyo karani siyo mzawa wa Mwanza aliwezaje kupata hiyo nafasi wakati hajui lugha ya mawasiliano mahala anapoenda kufanya sensa ..