Manispaa ya Mwanza kuna watu hawajui Kiswahili washindwa kuelewana na makarani wa sensa

Mtu kama huyo ukimlazimisha kujua Kiswahili huenda maisha yake yakayumba vibaya, kutojua Kiswahili ndiyo salama yake
 
Hili zoezi liende vizuri na kwa mda mfupi ingefaa wananchi kupitia serikali za mitaa wagawiwe form za maswali wazijaze mapema baada ya kujaza mabalozi wa nyumba kumi wazikusanye wazipeleke serikali ya mtaa maana changamoto ya kuwakuta watu wote nyumbani nayo ni kikwazo, mabalozi na wajumbe wao ndio ujua idadi halisi ya wakaazi wa eneo husika kupitia madaftari yao. Then makarani wa sensa ndio waende ofisi za serikali za mtaa wazifeed SAsa data kwenye system, ni mabalozi wa nyumba kumi kwa kushirikiana na wajumbe wao pamoja na makarani wa sensa wangeweza fanya zoezi hili kwa ufanisi zaidi.
 
Kuna swala la kutumia simu pangusa pia kujaza data na sio karatasi
 
Makarani wa mchongo wanaumbuka field
 
Hapo cha ajabu ni nn mtu kuongea lugha yake asili au shda ni kuwa mwanza alaf kiswahili akipandi vzur. Watu wa dsm mnatuchukuliaj cjui mbna mnajikuta nyie ndo modern
 
Hapo cha ajabu ni nn mtu kuongea lugha yake asili au shda ni kuwa mwanza alaf kiswahili akipandi vzur. Watu wa dsm mnatuchukuliaj cjui mbna mnajikuta nyie ndo modern
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…