Pre GE2025 Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa chini

Leo katika semina hiyo kulikuwa na mauza uza baada wa washiriki wa semina kukosa chai asubuhi Kata 4 zilizokuwa na washiriki takribani 100 kama hiyo haitoshi Hadi posho stahiki ya kazi hii Maalumu na muhimu kwa Mustakabali Mpana wa kupata viongozi kuingia dosari Hali iliyosababisha manung'uniko kutoka kwa washiriki hao.

Waziri mwenye dhamana Mhe Mchengerwa fuatilia kwa makini Manispaa ya Temeke katika kazi Maalumu na muhimu kama hii usicheke na kima ccm utashindwa mapema sana kabla ya mwakani haiwezekani mtenge posho kwa watekelezaji wa zoezi la uchaguzi halafu wanatokea watu wachache pale manispaa kukwamisha Juhudi za Mama kurudi madarakani mwakani kwa makusudi kabisa.

Hii haikubaliki na haitakubalika Kamweeeee.
Mama Samia wanaokukwamisha ni wale unaowaamini safari hii kaza buti haswaaa
OR TAMISEMI

View attachment 3118120
Posho mtapewa hakuna anaweza kukuzurumu tumepeleka dodoso namana pesa mwezi wa saba ikiingia kama hujaitengenezea bajeti inakuwa bakaa so pesa kabla ya bakaa na baada imeingia keshokutwa wanapelema bank checklist kisha unapewa pesa yako yote TUIPENDE NCHI YETU
 
Nchi hii samaki mkubwa kumla mdogo ipo kila sehem. Hivi hata hizi salam zako unakozituma habari wanayo ila wanakucheka hihihihi
 
Watumishi wa serikali ni maskini sana, yaani unalilia chai tena ya rangi
 
🤣🤣🤣.yaani vibweka vinaanza hata kabla uchaguzi wenyewe.
 
Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa chini

Leo katika semina hiyo kulikuwa na mauza uza baada wa washiriki wa semina kukosa chai asubuhi Kata 4 zilizokuwa na washiriki takribani 100 kama hiyo haitoshi Hadi posho stahiki ya kazi hii Maalumu na muhimu kwa Mustakabali Mpana wa kupata viongozi kuingia dosari Hali iliyosababisha manung'uniko kutoka kwa washiriki hao.

Soma Pia: Waboreshaji Daftari la Kudumu la wapiga kura Kigoma wanyimwa posho ya nauli siku za kazi licha ya tangazo la Mkurugenzi wa Tume Huru kuonesha malipo

Waziri mwenye dhamana Mhe Mchengerwa fuatilia kwa makini Manispaa ya Temeke katika kazi Maalumu na muhimu kama hii usicheke na kima ccm utashindwa mapema sana kabla ya mwakani haiwezekani mtenge posho kwa watekelezaji wa zoezi la uchaguzi halafu wanatokea watu wachache pale manispaa kukwamisha Juhudi za Mama kurudi madarakani mwakani kwa makusudi kabisa.

Hii haikubaliki na haitakubalika Kamweeeee.
Mama Samia wanaokukwamisha ni wale unaowaamini safari hii kaza buti haswaaa
OR TAMISEMI
Acha upumbavu Rais Samia hahujumiwi, bali Serikali ya JMT ndio inahujumiwa. Kwa ujinga wenu mtapigwa hadi mchakae
 
Posho mtapewa hakuna anaweza kukuzurumu tumepeleka dodoso namana pesa mwezi wa saba ikiingia kama hujaitengenezea bajeti inakuwa bakaa so pesa kabla ya bakaa na baada imeingia keshokutwa wanapelema bank checklist kisha unapewa pesa yako yote TUIPENDE NCHI YETU

Kwa mwandiko huu wewe ni Afisa Serikalini?
 
Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa chini

Leo katika semina hiyo kulikuwa na mauza uza baada wa washiriki wa semina kukosa chai asubuhi Kata 4 zilizokuwa na washiriki takribani 100 kama hiyo haitoshi Hadi posho stahiki ya kazi hii Maalumu na muhimu kwa Mustakabali Mpana wa kupata viongozi kuingia dosari Hali iliyosababisha manung'uniko kutoka kwa washiriki hao.

Soma Pia: Waboreshaji Daftari la Kudumu la wapiga kura Kigoma wanyimwa posho ya nauli siku za kazi licha ya tangazo la Mkurugenzi wa Tume Huru kuonesha malipo

Waziri mwenye dhamana Mhe Mchengerwa fuatilia kwa makini Manispaa ya Temeke katika kazi Maalumu na muhimu kama hii usicheke na kima ccm utashindwa mapema sana kabla ya mwakani haiwezekani mtenge posho kwa watekelezaji wa zoezi la uchaguzi halafu wanatokea watu wachache pale manispaa kukwamisha Juhudi za Mama kurudi madarakani mwakani kwa makusudi kabisa.

Hii haikubaliki na haitakubalika Kamweeeee.
Mama Samia wanaokukwamisha ni wale unaowaamini safari hii kaza buti haswaaa
OR TAMISEMI
Tatizo hata hizo kazi zenyewe mara nyingi( halmashauri) nyingi kupatikana kwake hua kuna uwalakini saana?
Sasa waulize walioingia kwenye hizo kazi za muda, ni wameingia kwa halali ama kuna janja janja walifanya!.....madudu ni mengi mno kuanzia upataji wa kazi hadi malipo! Maana kuna malipo na kuna wanaolipana baada ya kazi na kuna waliolipa kabla ya kazi kupata kazi...😀😀😀😀😀ni vuruvuru. TAMISEMI FATILIENI HALMASHAURI ZENU.
 
Back
Top Bottom