Pre GE2025 Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Posho mtapewa hakuna anaweza kukuzurumu tumepeleka dodoso namana pesa mwezi wa saba ikiingia kama hujaitengenezea bajeti inakuwa bakaa so pesa kabla ya bakaa na baada imeingia keshokutwa wanapelema bank checklist kisha unapewa pesa yako yote TUIPENDE NCHI YETU
 
Nchi hii samaki mkubwa kumla mdogo ipo kila sehem. Hivi hata hizi salam zako unakozituma habari wanayo ila wanakucheka hihihihi
 
Watumishi wa serikali ni maskini sana, yaani unalilia chai tena ya rangi
 
🀣🀣🀣.yaani vibweka vinaanza hata kabla uchaguzi wenyewe.
 
Acha upumbavu Rais Samia hahujumiwi, bali Serikali ya JMT ndio inahujumiwa. Kwa ujinga wenu mtapigwa hadi mchakae
 
Nichukue nafasi hii kuwapongeza wote walikosa posho
 

Kwa mwandiko huu wewe ni Afisa Serikalini?
 
Nyie SI watumishi wazee mnashindwa kujinunulia chai duh?
Sasa serikali hizi kazi SI wangewapa jobless tu wapate chochote kitu
Jobless wengi wanaharibu kazi za serikali halafu pakuwapata wakiharibu hakuna.
 
Tatizo hata hizo kazi zenyewe mara nyingi( halmashauri) nyingi kupatikana kwake hua kuna uwalakini saana?
Sasa waulize walioingia kwenye hizo kazi za muda, ni wameingia kwa halali ama kuna janja janja walifanya!.....madudu ni mengi mno kuanzia upataji wa kazi hadi malipo! Maana kuna malipo na kuna wanaolipana baada ya kazi na kuna waliolipa kabla ya kazi kupata kazi...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ni vuruvuru. TAMISEMI FATILIENI HALMASHAURI ZENU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…