Manji aachiwa na TAKUKURU kwa dhamana

Manji aachiwa na TAKUKURU kwa dhamana

Kuna watu awamu zilizopita walikuwa huwaambii kitu wewe afisa wa kawaida hata CEOs ktk kutimiza majukumu yao ya kawaida, yeye anawasiliana na watu wa ikuli ndipo simu zipigwe kushuka chini .
 
Ilikuwa lazima apite hapo ili Ku clear maana asingefanya hivyo mafaili yangebaki yana hang so ilikuwa clearance tayari kuanza kazi
Mbongo bana🤣

Mbongo anajua kila kitu tena hata kabla hakijatokea yeye anajua itakuwaje.

Mbongo hanaga msamiati wa SIJUI au SIFAHAMU.

Mbongo hata ukimuuliza Rocket zinatengenezwaje ataelezea mwanzo mwisho hata kama hajui Rocket ni kitu gani
 
TANZANIA KUNA VIWANDA VYA UONGO.
 
Je, passport yake wamechukua? Vipi bank accounts zake ana access nazo 24/7? Only time will tell.
Kati ya vichwa smart Manji ni mmoja wao, tofauti na MO.
Huyu jamaa tayari alishanusa kitakachofiata hivyo hawakuweza kuchukua hata sent yake iliyokua bank zaidi waliambulia zilizokua kwenye mzunguko na kuharibu na kupora mali zake.
 
Hii ndio taarifa mpya kutoka kwenye magazeti ya Tanzania , bado haijafahamika kama ameachiwa moja kwa moja au analiwa timing , bali ifahamike kwamba ni wachache wanaogusa ofisi ya TAKUKURU Wakatoka salama , kuna mmoja tayari yuko Kisongo

View attachment 1808537
Umeisha hiyo.....
au watu wa zamani wanasema. Imetoka hiyo ikirudi pancha
 
Only time will tell Mkuu.
Kati ya vichwa smart Manji ni mmoja wao, tofauti na MO.
Huyu jamaa tayari alishanusa kitakachofiata hivyo hawakuweza kuchukua hata sent yake iliyokua bank zaidi waliambulia zilizokua kwenye mzunguko na kuharibu ma kupora mali zake.
 
Mbongo bana[emoji1787]

Mbongo anajua kila kitu tena hata kabla hakijatokea yeye anajua itakuwaje.

Mbongo hanaga msamiati wa SIJUI au SIFAHAMU.

Mbongo hata ukimuuliza Rocket zinatengenezwaje ataelezea mwanzo mwisho hata kama hajui Rocket ni kitu gani
Wabongo haooo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kipindi cha mwendazake TAKUKURU kilikuwa chombo cha kukomoa watu waliopishana naye, ni suala la muda tu akina Seth wataachiwa, ndiyo maana mwendazake alikuwa anapenda kuweka wanajeshi kwenye hizi taasisi ili kutisha watu. Manji karudi siyo kwamba yeye ni mjinga bali amehakikishiwa usalama wake, na hata kama kuna kesi dhidi yake basi zitafuata utaratibu na sio shinikizo kutoka kwa yeyote
Fisadi tu na Wakwepa kodi.
" Wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu"
 
Jamaa zamani nasikia alikuwa hashikiki [emoji108][emoji108]

Dharau kama zote na kiburi!

Alikuwa anadharau maofisa watumishi wa chini yeye anaongea na watu wa Ikuli kisha amri zinashuka kupitia kwa CEOs !
Imerudi hiyo tena. Hiyo TAKUKURU iko remoted. Ngoja wana clear files zake na Omo zao za kiuchunguzi
 
Hii nchi iko katika mstari wa hatari sana. Jinsi ya kushughulika na mambo , akitoka Ssh akaja aliye kinyume chake type ya jiwe atafyeka ndani Team ssh na washirika wake viongozi toka shinani wataondolewa kwenye majukumu yao. Kila siku tutakuwa na short term plan za maendeleo maana ajaye atayatupa na kutuambia Tuliibiwa saana na serkali iliyopita ilikuwa dhaifu na hovyo.

Kauli ya kula kwa Zamu sana naielewa..
Wanaoshangilia sasa nao watakuwa wanalia kama waliao sasa.

Ngoja nichore tattoo. Hii na naichora kwa ukumbusho.
Umaweza kuja nikuchore kwa kile utaienzi TZ
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kama taifa
 
TAKUKURU nao wanatoa dhamana?

Well, kama ana kesi za kujibu bila shaka TAKUKURU watazipeleka mahakamani na hawatabumba kama walivyokuwa wanafanya awali
 
Hii ndio taarifa mpya kutoka kwenye magazeti ya Tanzania , bado haijafahamika kama ameachiwa moja kwa moja au analiwa timing , bali ifahamike kwamba ni wachache wanaogusa ofisi ya TAKUKURU Wakatoka salama , kuna mmoja tayari yuko Kisongo

View attachment 1808537
Huyu arosto ndiyo inamsumbua,kama wakitaka kuendelea kumzuia wampe na ngada zake vinginevyo atawafia mikononi mwao.
 
Back
Top Bottom