SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Jinai haifi wala haioziKwahiyo najiuliza kama takukuru ilikua na kesi ya kumshataki manji mbona hawakumfuatilia kuke alipo nje ya nchi, ina maana watu wakitoroka nchini wanakua salama zaidi na ni ngumu kuwashitaki? Tangu 2018 leo mnakuja kufufua kesi baada ya muhusika kurudi nchini
Nguvu ya pesa hiyoJamaa zamani nasikia alikuwa hashikiki [emoji108][emoji108]
Dharau kama zote na kiburi!
Alikuwa anadharau maofisa watumishi wa chini yeye anaongea na watu wa Ikuli kisha amri zinashuka kupitia kwa CEOs !
Haijawahi kuondoka. Tofauti ni aina ya maagizo yaliyokuwa yakitolewa. High profile individuals kama hao lazima maagizo yawepo.Imerudi hiyo tena. Hiyo TAKUKURU iko remoted. Ngoja wana clear files zake na Omo zao za kiuchunguzi
Mwisho wa siku, aliemtia adabu yuko wapi? 🤣🤣🤣Ila Jiwe alimtia adabu Kanji bai dah
Kipindi cha mwendazake TAKUKURU kilikuwa chombo cha kukomoa watu waliopishana naye, ni suala la muda tu akina Seth wataachiwa, ndiyo maana mwendazake alikuwa anapenda kuweka wanajeshi kwenye hizi taasisi ili kutisha watu. Manji karudi siyo kwamba yeye ni mjinga bali amehakikishiwa usalama wake, na hata kama kuna kesi dhidi yake basi zitafuata utaratibu na sio shinikizo kutoka kwa yeyote
Hii kiufundii tunaiita "Mungu wetu sote"Mwisho wa siku, aliemtia adabu yuko wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Believe this and you'll believe anything!TAKUKURU sasa inaonesha hawafanyi kazi kwa shindikizo au mbinyo bali wanafuata taratibu na kanuni mpaka watapomaliza suala hili.
Hii ni hatua Mpya katika namna ya taasisi hii muhimu ya utawala bora Tanzania inavyochapa kazi zake kipindi hiki cha serikali ya awamu ya sita.
Account bado zina hela? Hakuna notice of urgency sababu ya pending cases?Je, passport yake wamechukua? Vipi bank accounts zake ana access nazo 24/7? Only time will tell.
Account bado zina hela? Hakuna notice of urgency sababu ya pending cases?
Manji, kwani lazima afanye biashara Tanzania? Na Tanesco au kuna mteja mwingine?
Ni kweli hii ni mbinu ya kumsafishaBinafsi nafsi inanituma kuamini kuwa Manj siyo mtu wa kukurupuka.
Manj aliamua kurudi Tanzania baada ya kufanya mazungumzo ya kutosha na kujiridhisha kuwa atakuwa salama.
Haya yanayoendelea ni mambo yapo kimkakati na yanajulikana kwa wahusika wa pande mbili.
Umeomaeeeeeee?Ni kweli hii ni mbinu ya kumsafisha
Sheikh ubwabwaMange Kimambi
Hivi we jamaa juzi na article yako ya R.Kelly nikalewa bure hakuna cha out wala nini nikadhani umelambwa ban[emoji1787][emoji1787][emoji1787]