Hivi we jamaa juzi na article yako ya R.Kelly nikalewa bure hakuna cha out wala nini nikadhani umelambwa ban[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Heineken full kulewaa....badae nikashangaa uzi wako mod akalala nao mbele[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikunywa kilevi kipi hadi ukalewa?
Heineken full kulewaa....badae nikashangaa uzi wako mod akalala nao mbele[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilitegemea ulimwe life ban lione[emoji57][emoji57][emoji57]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo jamaa hawamtemi? Bado wanae?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliweka sahihisho kwamba ilikuwa si kweli. Kuna mtu kule Twitter alianzisha uzushi basi ndani ya masaa machache ukasambaa kama moto hadi vyombo vya habari vikubwa vilivyotafuta uthibitisho ndiyo ikajulikana kwamba bado yuko nyumba kubwa.
Kwahiyo jamaa hawamtemi? Bado wanae?
Ooh my R.Kelly[emoji22][emoji22]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwani hata hivyo ana hatia gani?Takukuru watakuja kusema Hana Hatia
Na Manji ataendelea na shughuli zake.
Masikini atajifia tu humo kwenye cell[emoji22][emoji22]Hata kesi zake kule New York na Chicago hazijaanza kusikilizwa nadhani zimechelewa kusikilizwa kwa sababu ya COVID. Ana hali mbaya.
Mkuu JIWE halifi, huwa linapasukaJiwe kesha kufa
Account bado zina hela? Hakuna notice of urgency sababu ya pending cases?Je, passport yake wamechukua? Vipi bank accounts zake ana access nazo 24/7? Only time will tell.
Kuna sheria inayomzuia Mtanzania kufanya biashara Tanzania? Kwani aliyekwambia mfanyabiashara mkubwa kama Manji anafanya biashara na mteja mmoja ni nani?
Account bado zina hela? Hakuna notice of urgency sababu ya pending cases?
Manji, kwani lazima afanye biashara Tanzania? Na Tanesco au kuna mteja mwingine?
Wewe ndio umeniambia. Maana Manji ni mtanzania wa kwanza kuwa na passport mbili na bado akawa mtanzania.
Uchawa una kazi sana