Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 602
mimi mwenyewe simba damu lakini yule alshhabab hana lolote analojua, kwenye siasa anapanda na bastola utafikiri ameyaona majeshi ya kenya.yaani vululu mimi nilimwona mwehu pale aliposema ataitoa timu kwenye ligi mashabiki wangemkeketa yey na familia yake chezea yanga na simba eeh.saaa safi sna kakak nimekupenda ukweli uliotwambia hasa hii timu ya maharage ndo imejaza washabiki
mimi mwenyewe simba damu lakini yule alshhabab hana lolote analojua, kwenye siasa anapanda na bastola utafikiri ameyaona majeshi ya kenya.yaani vululu mimi nilimwona mwehu pale aliposema ataitoa timu kwenye ligi mashabiki wangemkeketa yey na familia yake chezea yanga na simba eeh.
Ni hatari kwa klabu kubwa kutegemea ufadhili wa mtu mmoja, labda angekuwa ni mmiliki. Hivi mapenzi gani haya kwa timu? Mwisho wa siku utasikia fedha iliyojenga uwanja ameikopesha Yanga, na utakuwa mikononi mwake mpaka deni liishe. Vibabu, I mean, wazee, klabu ndio inabinafsishwa hivyo!!!!
hata mimi nashangaa.mbona sisi simba tumejenga uawanja wetu wenyewe na unakaribia kuisha,tumebakiza kuweka vitasa vya milango tu.Waswahili kwa kupenda bure mi sijui wakoje...sasa timu kama Yanga hivi kweli ya kujengewa uwanja na mtu kweli?!!
hata mimi nashangaa.mbona sisi simba tumejenga uawanja wetu wenyewe na unakaribia kuisha,tumebakiza kuweka vitasa vya milango tu.
usilete mambo ya ushabiki bali kuwa serious kama wale wazee wa awali (sijui Tabu Mangala and the like) walioweza kumobilise wanachama na kuweza kujenga majengo ya clubs bila tamaa na sio hawa wa sasa wakiongozwa na vijana akina Bakili walioamua kumkabidhi kila kitu mtu ambaye hata 'mafisadi' walimtilia mashaka kwenye nomination ya uwakilishi jimbo la Kigamboni!
Cha kusikitisha zaidi, hao akina Mangala hawakuwa na aina ya mapenzi ya kushikiana hata mapanga lakini hawa wa sasa wanaweza hata kukuua eti kwa upenzi wao kwa timu.
Mimi ni mwananchama mfu wa Yanga, je nyie wanachama hai wa Yanga mtachangia shilingi ngapi katika huo mradi?
timu zote viongozi longolongo tu. Kweli simba inakosa pesa za kulipia uwanja!? Ingawa nawapongeza wanachama kwa kupitisha mchango kwenye mkutano mkuu, tofauti na wenzao ambao wanataka walipiwe hadi mchango wa kadi za uwanachama ndo waende mkutanoni! Hivi pesa za samata, ochan, mrwanda na henry joseph ambazo zingetosha hata kwa uwanja wa mazoezi zimeenda wapi?na fedha za rambirambi je? Na yanga nao wanafukuza kocha bila kutathmini hasara watakayopata! Haya milioni 200 hizooo mtakatifu wenu tomasi anaondoka nazo! Klabu inamradi gani wakupata pesa zote izo?(kuna taarifa kuwa wamekopa, tayari deni ilo!), huku papic naye huyooo kakinukisha! Bila kusahau Njoroge yuko kwenye foleni anasubiri kukinga chake! Alaf ujengwe uwanja! What a hell is this!? Klabu imekua kama muembe wa uwani kila mtu anajitingishia tu! Eti kisa yeye ni Baniani! Mbona kuna kipindi aliitelekeza timu ikawa ina haha hadi wachezaji wakatoroka hotelini Arusha sababu ya deni! Huyo ameingia klabuni kufidia hasara alizopata kipindi kileee...amkeniiii! Baada ya mechi na JKT kuna watu wa yanga waKaanza kumuimbia na wengine kutaka hadi kumbusu...!! Bahati nzur aliwahi kupanda gari( alafu kuna jamaa anasema eti yanga hakuna watindiga! Hawa tuwaiteje? Mapoyoyooo au michelee!!?) maskini ya Mungu bado wamelala!