Kitu ambacho mleta habari kashindwa kukielewa ni kuwa kuna grace period ya lini uli lodge kampunimiwe incorporated na lini imekuwa incorporated. Licha ya hayo kuna intention, ambayo inaweza kuambatana na MoU kabla ya kampuni kuanzishwa. Na hapo hizo tarehe na kampuni vimekuwa leaked ili ukivipeleka mahakamani (mwanasheria mbumbu kama anaetajwa) vikugeukie.
Kwa ufupi, kampuni inaweza kuwepo hata kama haijawa incorporated.
Lakini haiwezi kuwa na legal power ya kuingia kwenye mikataba, leave alone mikataba mikubwa kama huu. It is only after being incorporated that is when it becomes legal entity.Kitu ambacho mleta habari kashindwa kukielewa ni kuwa kuna grace period ya lini uli lodge kampunimiwe incorporated na lini imekuwa incorporated. Licha ya hayo kuna intention, ambayo inaweza kuambatana na MoU kabla ya kampuni kuanzishwa. Na hapo hizo tarehe na kampuni vimekuwa leaked ili ukivipeleka mahakamani (mwanasheria mbumbu kama anaetajwa) vikugeukie.
Kwa ufupi, kampuni inaweza kuwepo hata kama haijawa incorporated.
Kitu ambacho mleta habari kashindwa kukielewa ni kuwa kuna grace period ya lini uli lodge kampunimiwe incorporated na lini imekuwa incorporated. Licha ya hayo kuna intention, ambayo inaweza kuambatana na MoU kabla ya kampuni kuanzishwa. Na hapo hizo tarehe na kampuni vimekuwa leaked ili ukivipeleka mahakamani (mwanasheria mbumbu kama anaetajwa) vikugeukie.
Kwa ufupi, kampuni inaweza kuwepo hata kama haijawa incorporated.
Kwanza corrections:
iliyosajiriwa = iliyosajiliwa.
Agricullture = Agriculture
Naona hujazisoma sheria mpya za Biashara za Tanzania (na sehemu nyingi duniani). Anaekuwa liable ni yule aliye sign na si kampuni kama ilikuwa incorporated or otherwise.
Majambazi wa Ikulu wamemwambia ajitetee na alivyozezeta katumia watu kwa pesa za wizi kuhonga na kutolewa nyaraka nao wamemtosa hakomi tuu kutwa wanajiadhiri na nyaraka zao za kufoji hovyoooooooo kabisa serikali hii
To be honest ya manji na kagoda naona ni old news kwangu.
Mpya ni hili la Manji kuwaweka madiwani wake na meya wake jijini Dar na yanayojiri now....
Halafu si Manji ndie mmilikiwa wa SasaTel?
Kodi wanazolipa SasaTel zikoje? Kodi za Quality Group?
tukiendelea kujadili wizi wa 2005 wakati kuna wizi mwingine unaendelea ni busara kweli?
Si juzi jiji wamempa ufukwe wote wa Oysterbay?
Chonde chonde Invisible, ungeangalia namna ya kuwasiliana naye haya ni matatizo ya kiufundi katika kufoji, duu kwanini wasitulie kidogo? yanajirudia makosa yale yale ya kufungua akaunt ya benki siku ya Jumapili. Pole sana Tanzania!!!
Kitu ambacho mleta habari kashindwa kukielewa ni kuwa kuna grace period ya lini uli lodge kampunimiwe incorporated na lini imekuwa incorporated. Licha ya hayo kuna intention, ambayo inaweza kuambatana na MoU kabla ya kampuni kuanzishwa. Na hapo hizo tarehe na kampuni vimekuwa leaked ili ukivipeleka mahakamani (mwanasheria mbumbu kama anaetajwa) vikugeukie.
Kwa ufupi, kampuni inaweza kuwepo hata kama haijawa incorporated.
nchi yote kanjanjaUkienda ikulu kuna makanjanja, ukienda kwenye redio zao kuna makanjanja, hadi kwa huyu che-manji naye pamoja na wasaidizi wake wote makanjanja!
Hilo la kusaini kama aliyesaini anayo mamlaka ya kusaini kimsingi kampuni itakuwa bound/liable kwenye hicho alichokisaini.
FF with due respect, nina wasiwasi na uelewa wako wa sheria za makampuni hasa hii ya hapa kwetu ( The Companies Act, CAP 212), unless kama unafanya makusudi kuspin huu mjadala.
Incorporation ni kama kuzaliwa (kwa natural person), hivyo huwezi kuingia mkataba na mtu ambaye hajazaliwa! Kama kulikuwapo 'promoters' wa hiyo Kagoda, wao ndio walipaswa kuingia mkataba (wa kukopesha) na QFL (manji) na baada ya Kagoda 'kuzaliwa' then wangeweza kuuhamishia huo mkataba kwa Kagoda. Kumbuka registrar wa makampuni anaweza kukataa kusajili kampuni au hata kukataa jina la kampuni na hivyo kampuni isizaliwe kabisa au isizaliwe katika jina lillilokusudiwa na promoters. Na zaidi, ni kosa kisheria kutumia mwishoni mwa jina neno 'limited' au kifupisho chake kabla ya kuwa incorporated (as such).
S14A(3) The Registrar shall not be required to assign reasons for his refusals to register the memorandum and the articles.
S15(1) On the registration of the memorandum of a company the Registrar shall certify under his hand that the company is incorporated and, in the case of a limited company, that the company is limited.