Hilo la kusaini kama aliyesaini anayo mamlaka ya kusaini kimsingi kampuni itakuwa bound/liable kwenye hicho alichokisaini.
FF with due respect, nina wasiwasi na uelewa wako wa sheria za makampuni hasa hii ya hapa kwetu ( The Companies Act, CAP 212), unless kama unafanya makusudi kuspin huu mjadala.
Incorporation ni kama kuzaliwa (kwa natural person), hivyo huwezi kuingia mkataba na mtu ambaye hajazaliwa! Kama kulikuwapo 'promoters' wa hiyo Kagoda, wao ndio walipaswa kuingia mkataba (wa kukopesha) na QFL (manji) na baada ya Kagoda 'kuzaliwa' then wangeweza kuuhamishia huo mkataba kwa Kagoda. Kumbuka registrar wa makampuni anaweza kukataa kusajili kampuni au hata kukataa jina la kampuni na hivyo kampuni isizaliwe kabisa au isizaliwe katika jina lillilokusudiwa na promoters. Na zaidi, ni kosa kisheria kutumia mwishoni mwa jina neno 'limited' au kifupisho chake kabla ya kuwa incorporated (as such).
S14A(3) The Registrar shall not be required to assign reasons for his refusals to register the memorandum and the articles.
S15(1) On the registration of the memorandum of a company the Registrar shall certify under his hand that the company is incorporated and, in the case of a limited company, that the company is limited.