Naona vyuma vimekaza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..... Mtani nimekumbuka uliwahi kuwapa matumaini 'mbumbumbu' wenzio humu kuwa point zenu za FIFA zinarejeshwa. Lakini mpaka sasa bado labda zitakuja mwisho wa msimu huu wa ligi... Aah ah, sasa, bandiko linaongelea safari ya Yanga kwa ndege na ikimuhusu Manji, swala la huyo unaesema amefanyiwa kitu Zanzibar limeingiaje hapo?Hakuna kitu kama hicho wala ukweli wowote hapo ila kinachofanyika sasa ni Yanga ' kujipendekeza ' kwa Manji ili ' kumshawishi ' arejee Yanga na anayefanya / anayeratibu huu ' upuuzi ' wote ni Katibu Mkuu wa Yanga Mkwasa na Mtangazaji wa ' hovyo hovyo ' wa Efm na mwana Yanga ' lia lia ' kabisa Maulid Kitenge.
Kadri uzi huu utakavyokuwa unaendelea mbele nitakuja kuelezea ' kiundani ' kabisa tabia za huyo Kijana Kushoto Kwako pichani ambaye ni ' Komandoo ' wa Yanga SC aitwae Carlos Ze Don kisha ndipo mtajua ni kwaninu huwa anapenda sana ' kujikombakomba ' kwa Manji.
Carlos Ze Don ameacha historia ya aibu sana Visiwani Zanzibar hasa kipindi kile cha mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambapo alichofanyiwa na Wazanzibari kilimfanya hadi ' azimie ' kabisa na akawahishwa jijini Dar es Salaam kwa matibabu ' maalum ' na nakumbuka alikaa karibia miezi miwili hatoki ndani na anakwepa Watu.
Ukitaka kujua kama Manji amerudi Yanga au hapana mtafuteni jibu ambalo Nahodha wa ' kulazimisha ' wa Yanga SC Nadir Haroub ' Cannavaro ' kisha awaambieni jibu ambalo Manji alimpa siku ile Kesi yake ikifikia kikomo pale Kisutu ila ninachojua ni kwamba Manji alimwambia Cannavaro kwamba kwa sasa anaomba wamuache kwani ' amechanganyikiwa, amerudishwa nyuma na anataka kujipanga upya kiuchumi ' ila akawaelekeza waende kwa ' Tajiri ' mmoja mwenye Ofisi zake jirani na Benki ya Kizalendo pale Posta ili awasaidie kwa sasa. Na Manji hakumuacha hivi hivi Cannavaro ambapo alimuuliza Swali ambalo lilimfanya Cannavaro ainame chini kwa aibu na kushindwa kulijibu ambapo alimuuliza kwamba inakuwaje wakati wote wa Kesi alikuwa hawaoni pale Kisutu kumuunga mkono ila sasa ameshinda Kesi ndiyo wanajifanya kumkumbuka na kuwa karibu nae?
Wana Yanga mtawadanganya wasio na akili humu ila kwa Sisi Wajanja wa mjini / Watoto wa mjini na tunaojua michezo yote ya hatari na Siasa zetu hizi za Simba na Yanga wala hamuwezi kutupata. Manji wala hana haja tena na Yanga SC na hafikirii tena kuwasaidieni ila semeni tu ukweli kwamba kuna Waziri wenu mmoja wa Wizara ' Nyeti ' ambaye anawapenda Yanga kuliko hata wale Watu ' wasiojulikana ' ndiyo amewashawawishi Marafiki zake kadhaa ' matajiri ' wenye mahaba na Yanga ndipo ' wamejichanga ' jana mchana na leo Timu ikaondoka na Ndege kwenda ' Kufungwa ' huko Kagera na Shinyanga.
Endeleeni kuwadanganya ' wajinga wajinga ' ila Manji ameshajivua rasmi Yanga SC.
Nimemaliza.
Huwa mnaropoka hivyohivyo,msimu wa tano huu ubingwa mnausikia redioni.Rage aliwaita jina flani naona hakukosea.Endeleeni na ndoto zenu za alinacha .Kwa Yanga labda siyo kwa Simba. Simba SC sasa ifananishe na TP Mazembe Mkuu.
Hakuna kitu kama hicho wala ukweli wowote hapo ila kinachofanyika sasa ni Yanga ' kujipendekeza ' kwa Manji ili ' kumshawishi ' arejee Yanga na anayefanya / anayeratibu huu ' upuuzi ' wote ni Katibu Mkuu wa Yanga Mkwasa na Mtangazaji wa ' hovyo hovyo ' wa Efm na mwana Yanga ' lia lia ' kabisa Maulid Kitenge.
Kadri uzi huu utakavyokuwa unaendelea mbele nitakuja kuelezea ' kiundani ' kabisa tabia za huyo Kijana Kushoto Kwako pichani ambaye ni ' Komandoo ' wa Yanga SC aitwae Carlos Ze Don kisha ndipo mtajua ni kwaninu huwa anapenda sana ' kujikombakomba ' kwa Manji.
Carlos Ze Don ameacha historia ya aibu sana Visiwani Zanzibar hasa kipindi kile cha mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambapo alichofanyiwa na Wazanzibari kilimfanya hadi ' azimie ' kabisa na akawahishwa jijini Dar es Salaam kwa matibabu ' maalum ' na nakumbuka alikaa karibia miezi miwili hatoki ndani na anakwepa Watu.
Ukitaka kujua kama Manji amerudi Yanga au hapana mtafuteni jibu ambalo Nahodha wa ' kulazimisha ' wa Yanga SC Nadir Haroub ' Cannavaro ' kisha awaambieni jibu ambalo Manji alimpa siku ile Kesi yake ikifikia kikomo pale Kisutu ila ninachojua ni kwamba Manji alimwambia Cannavaro kwamba kwa sasa anaomba wamuache kwani ' amechanganyikiwa, amerudishwa nyuma na anataka kujipanga upya kiuchumi ' ila akawaelekeza waende kwa ' Tajiri ' mmoja mwenye Ofisi zake jirani na Benki ya Kizalendo pale Posta ili awasaidie kwa sasa. Na Manji hakumuacha hivi hivi Cannavaro ambapo alimuuliza Swali ambalo lilimfanya Cannavaro ainame chini kwa aibu na kushindwa kulijibu ambapo alimuuliza kwamba inakuwaje wakati wote wa Kesi alikuwa hawaoni pale Kisutu kumuunga mkono ila sasa ameshinda Kesi ndiyo wanajifanya kumkumbuka na kuwa karibu nae?
Wana Yanga mtawadanganya wasio na akili humu ila kwa Sisi Wajanja wa mjini / Watoto wa mjini na tunaojua michezo yote ya hatari na Siasa zetu hizi za Simba na Yanga wala hamuwezi kutupata. Manji wala hana haja tena na Yanga SC na hafikirii tena kuwasaidieni ila semeni tu ukweli kwamba kuna Waziri wenu mmoja wa Wizara ' Nyeti ' ambaye anawapenda Yanga kuliko hata wale Watu ' wasiojulikana ' ndiyo amewashawawishi Marafiki zake kadhaa ' matajiri ' wenye mahaba na Yanga ndipo ' wamejichanga ' jana mchana na leo Timu ikaondoka na Ndege kwenda ' Kufungwa ' huko Kagera na Shinyanga.
Endeleeni kuwadanganya ' wajinga wajinga ' ila Manji ameshajivua rasmi Yanga SC.
Nimemaliza.
Acha Ujinga / Ungumbaru suala lililopo mezani sasa ni hili la Manji kurudi na kuisaidia Yanga SC na jinsi linavyopotoshwa na akina Mkwasa na Kitenge kwa ' maslahi ' yao na ' kujipendekeza ' Kwao Kwake.
Endelea ' Kudanganywa ' na ' Kudanganyika ' hivyo hivyo. We hushangai na hujiulizi swali kuwa Mimi ni mwana Msimbazi tena wa ' Kindakindaki ' kabisa lakini nayajua ya ndani kabisa ya Yanga SC kuliko hata Wewe na hao Yanga wenzako? Mtafute Nahodha Nadiri Haroub ' Cannavaro ' atakupa zaidi ya haya niliyoyaweka hapa na asipokuambia au akikukwepa rudi tena hapa Kwangu nikuelekeze mahala pengine ambapo utapata ' taarifa ' sahihi kabisa.
Wastaarabu wa dunia hii wanasema Once a King always a King...Manji ana utajiri uliojikita kwenye familia toka Babu,Baba na yeye mwenye kauongeza maradufu!Taarifa zinaeleza kuwa Mfanyabiashara Yusuph Manji amesitisha safari ya Yanga kuelekea Kagera kwa njia ya basi, sasa wataondoka na ndege kesho.
Yanga itasafiri mkoani humo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar, siku ya Jumamosi.
Nb:typing error kwenye heading ni kesho na sio kesho kutwa
Endelea ' Kudanganywa ' na ' Kudanganyika ' hivyo hivyo. We hushangai na hujiulizi swali kuwa Mimi ni mwana Msimbazi tena wa ' Kindakindaki ' kabisa lakini nayajua ya ndani kabisa ya Yanga SC kuliko hata Wewe na hao Yanga wenzako? Mtafute Nahodha Nadiri Haroub ' Cannavaro ' atakupa zaidi ya haya niliyoyaweka hapa na asipokuambia au akikukwepa rudi tena hapa Kwangu nikuelekeze mahala pengine ambapo utapata ' taarifa ' sahihi kabisa.
Uchonganishi huoNasema hivyi "Manji chapa kaziii" ( In Pombe's voice)
Hakuna kitu kama hicho wala ukweli wowote hapo ila kinachofanyika sasa ni Yanga ' kujipendekeza ' kwa Manji ili ' kumshawishi ' arejee Yanga na anayefanya / anayeratibu huu ' upuuzi ' wote ni Katibu Mkuu wa Yanga Mkwasa na Mtangazaji wa ' hovyo hovyo ' wa Efm na mwana Yanga ' lia lia ' kabisa Maulid Kitenge.
Kadri uzi huu utakavyokuwa unaendelea mbele nitakuja kuelezea ' kiundani ' kabisa tabia za huyo Kijana Kushoto Kwako pichani ambaye ni ' Komandoo ' wa Yanga SC aitwae Carlos Ze Don kisha ndipo mtajua ni kwaninu huwa anapenda sana ' kujikombakomba ' kwa Manji.
Carlos Ze Don ameacha historia ya aibu sana Visiwani Zanzibar hasa kipindi kile cha mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambapo alichofanyiwa na Wazanzibari kilimfanya hadi ' azimie ' kabisa na akawahishwa jijini Dar es Salaam kwa matibabu ' maalum ' na nakumbuka alikaa karibia miezi miwili hatoki ndani na anakwepa Watu.
Ukitaka kujua kama Manji amerudi Yanga au hapana mtafuteni jibu ambalo Nahodha wa ' kulazimisha ' wa Yanga SC Nadir Haroub ' Cannavaro ' kisha awaambieni jibu ambalo Manji alimpa siku ile Kesi yake ikifikia kikomo pale Kisutu ila ninachojua ni kwamba Manji alimwambia Cannavaro kwamba kwa sasa anaomba wamuache kwani ' amechanganyikiwa, amerudishwa nyuma na anataka kujipanga upya kiuchumi ' ila akawaelekeza waende kwa ' Tajiri ' mmoja mwenye Ofisi zake jirani na Benki ya Kizalendo pale Posta ili awasaidie kwa sasa. Na Manji hakumuacha hivi hivi Cannavaro ambapo alimuuliza Swali ambalo lilimfanya Cannavaro ainame chini kwa aibu na kushindwa kulijibu ambapo alimuuliza kwamba inakuwaje wakati wote wa Kesi alikuwa hawaoni pale Kisutu kumuunga mkono ila sasa ameshinda Kesi ndiyo wanajifanya kumkumbuka na kuwa karibu nae?
Wana Yanga mtawadanganya wasio na akili humu ila kwa Sisi Wajanja wa mjini / Watoto wa mjini na tunaojua michezo yote ya hatari na Siasa zetu hizi za Simba na Yanga wala hamuwezi kutupata. Manji wala hana haja tena na Yanga SC na hafikirii tena kuwasaidieni ila semeni tu ukweli kwamba kuna Waziri wenu mmoja wa Wizara ' Nyeti ' ambaye anawapenda Yanga kuliko hata wale Watu ' wasiojulikana ' ndiyo amewashawawishi Marafiki zake kadhaa ' matajiri ' wenye mahaba na Yanga ndipo ' wamejichanga ' jana mchana na leo Timu ikaondoka na Ndege kwenda ' Kufungwa ' huko Kagera na Shinyanga.
Endeleeni kuwadanganya ' wajinga wajinga ' ila Manji ameshajivua rasmi Yanga SC.
Nimemaliza.
Kwa ule uongo wako uliowadanganya mbumbumbu wenzako ulifikiri sisi tunaweza danganyika,mambo ya jangwani hayazungumzwi ovyoovyoKwa Yanga labda siyo kwa Simba. Simba SC sasa ifananishe na TP Mazembe Mkuu.