Manji aliamsha dude; ameahirisha safari ya Yanga kesho kwa gari, watasafiri kwa ndege

 
Hivi wale "majiniasi" wenye kesi ya kutakatisha pesa wamefikia wapi?
 
Popoma
 

We kweli shabiki wa simba.huko uliko nahisi hata haja kubwa imekutokaaaa...neno manji tu ndo uandike maandishi ya hasira namna hii!!!sio bure wewe lazima utakuwa umemeza wembe aina ya lion.ili usiliogope hili neno manji,mpe mwanao jina hili la manji au kama we n tasa ama mgumba,kipe kitu chochote ulichokuwa nacho karibu hilo jina ili iwe rahisi kwako kulizoea.
 
Hayo ndio majibu ya kumjibu mwenye roho mbaya
 
Umefilisika kifkra. Pole Sana mkuu
 
Mbona walipita jana na basi lao dodoma jioni...hio ndege labda wanapanda viongozi
Basi linaenda kwa ajiri ya kuwabeba Airport na kuwapeleka Hoteri na Uwanjani
 
Natamani wote tungekuwa na moyo kama wa manji, mimi Ningekuwa kama manji ningehama nchi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…