Manji aliondoka na Yanga haikufa, kwanini Moo asiondoke atuachie Simba yetu?

Lipeni pesa zake alizotoa
Moo hajatoa pesa yoyote Bure Kwa Simba. Pesa za moo Huwa Either ameikopesha Simba au amelipia matangazo ya kampuni zake kupitia Brand ya Simba.,
MeLT group imejitangaza sana kupitia klabu ya Simba tena kwa mikataba ya hovyo kabisa inayoinyonya klabu for example MoXtra ukiambiwa mkataba wake na Simba ni karibu na Bure
 
Timu yako na nani? Unamiliki nini kwenye timu au umechangia nini kwenye timu. Mwenzako ana mkataba kaininua wewe una nini?
 
Timu yako na nani? Unamiliki nini kwenye timu au umechangia nini kwenye timu. Mwenzako ana mkataba kaininua wewe una nini?
Timu Ni ya wanainchi,,kwani Hao wanaomiliki Simba wao mamlaka ya umiliki wamepewa na nani,,

Timu zote duniani mwenye timu Ni shabiki..

More mzinguwaji tu...

Hana mpango wowote.

Hivi timu imepata pesa kibao robo fainali 5 unashindwa kujenga uwanja?
Pesa anapeleka wp?
 
#Mo turudishie timu yetu.
 
Bora maandishi yangekuwa na uwiano sawa lakini yaliyopo ni makubwa jinga sijui designer wake ni fundi Michael!!?
Kabisa halafu ameweka maandishi Kati Kati ya matako,,

Muhuni Sana yule.

MORE DEWJ.
sijawahi kuona mfadhili anaandika Jina lake kwenye jezi..

Jezi matangazo kibao ambayo akiambiwa analipa nn maelezo Hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…