Manji aliondoka na Yanga haikufa, kwanini Moo asiondoke atuachie Simba yetu?

Manji aliondoka na Yanga haikufa, kwanini Moo asiondoke atuachie Simba yetu?

Baadhi ya wanaJF sijui akili zenu ziko wapi ama uwezo wa kufikiri sijui ni mdogo!

Imebidi nikuangalie ni member wa jf tokea lini kumbe 2023
Same member but different ID..

Mtoa post ana kitu cha ziada asikilizwe.
 
kwa simba ya leo ilipofikia Mo aondoke ata kesho wapo matajiri kibao Barani africa wataigombania kama njugu
Unaongelea ela za watu zilizoko mifukoni mwao..Ilitakiwa useme Mo akiondoka mimi nachukua nafasi yake sio kuongelea matarajio ya watu wengine usio na uhakika nayo.
 
Kabisa halafu ameweka maandishi Kati Kati ya matako,,

Muhuni Sana yule.

MORE DEWJ.
sijawahi kuona mfadhili anaandika Jina lake kwenye jezi..

Jezi matangazo kibao ambayo akiambiwa analipa nn maelezo Hakuna.
Kumbe umeliona nawewe Mkuu, kaweka jina lake katikati ya matako tena kwa herufi kubwa MORE DEWJI
 
Wee tu mwenywe kutoa elfu kumi ujawahi alfu Happ unakuja kumkanda moo
 
Kwamba bajeti ya Simba huwa inajitosheleza?
Ameweka wapi? Ili tuanzie kwenye mapato na matumizi kwnz.

Ile 20 B sio ya More Ni ya Simba sc.

Tujuwe ameweka wp na imetumika ktk matumizi gani.
 
Nipo nimekaa paleee

Aondoke kama hamuanzi kumlilia, njaa mbaya sana

Hiv hao wachezaj mlio nao tu bila ya Mo mngeweza kuwasajil na kuwalipa kama ilivyo
 
wanasimba tuamke ,,Ni kwamba,,
Kila tunapovaa jezi za Simba zenye matangazo ya more tunampigia kampeni ya biashara zake bila kujijuwa...

Mimi nilishtuka zamani Sana..


Yaani unataangaza biashara ya more bila kujijuwa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Klabu haipati kitu
Na hata shabiki pia hapati kitu...

More usipitoka safari hii nakupigia KIJINI SHOGA..
ukiona wanaume unakata mauno hadharani.
 
Billion 20 amwaeka ACC gani?
.
IMG-20220801-WA0001.jpg
 
Moo hajatoa pesa yoyote Bure Kwa Simba. Pesa za moo Huwa Either ameikopesha Simba au amelipia matangazo ya kampuni zake kupitia Brand ya Simba.,
MeLT group imejitangaza sana kupitia klabu ya Simba tena kwa mikataba ya hovyo kabisa inayoinyonya klabu for example MoXtra ukiambiwa mkataba wake na Simba ni karibu na Bure
Kumbe unakubali kuwa anaikopesha, hiyo mikataba iweke hapa la sivyo ni porojo tu, halafu wewe ni uto ila unawashwa washwa na mambo ya simba
 
Back
Top Bottom