Same member but different ID..Baadhi ya wanaJF sijui akili zenu ziko wapi ama uwezo wa kufikiri sijui ni mdogo!
Imebidi nikuangalie ni member wa jf tokea lini kumbe 2023
Unaongelea ela za watu zilizoko mifukoni mwao..Ilitakiwa useme Mo akiondoka mimi nachukua nafasi yake sio kuongelea matarajio ya watu wengine usio na uhakika nayo.kwa simba ya leo ilipofikia Mo aondoke ata kesho wapo matajiri kibao Barani africa wataigombania kama njugu
Kumbe umeliona nawewe Mkuu, kaweka jina lake katikati ya matako tena kwa herufi kubwa MORE DEWJIKabisa halafu ameweka maandishi Kati Kati ya matako,,
Muhuni Sana yule.
MORE DEWJ.
sijawahi kuona mfadhili anaandika Jina lake kwenye jezi..
Jezi matangazo kibao ambayo akiambiwa analipa nn maelezo Hakuna.
Ndy maana sifai jezi za Simba..Kumbe umeliona nawewe Mkuu, kaweka jina lake katikati ya matako tena kwa herufi kubwa MORE DEWJI
Sijawahi ona jezi ina matangazo mengi Namna ileBora maandishi yangekuwa na uwiano sawa lakini yaliyopo ni makubwa jinga sijui designer wake ni fundi Michael!!?
Ameweka wapi? Ili tuanzie kwenye mapato na matumizi kwnz.Kwamba bajeti ya Simba huwa inajitosheleza?
Sasa neno MORE DEWJ Ni tangazo au nn?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jezi yenye maneno mengi sivai kwakweli.
Atatoka tu,,Kwa faida anazopata hapo Simba sidhani kama Kanjibai ataiachia timu kirahisi rahisi hivi.
Kadi yenyewe aitoe wapi?? Kelele tuJe? Mara ya mwisho kulipia KADI ya uanachama ni lini?
Asante
.Billion 20 amwaeka ACC gani?
Mmekuwa wakali ππππSafari hii mwamedi lazima aachie timu apende asipende
ππππKwa faida anazopata hapo Simba sidhani kama Kanjibai ataiachia timu kirahisi rahisi hivi.
Hao wazee waliomkabidhi mo Simba wao wanaumilikii upi?Eti..."Simba yetu"...!Uliimiliki lini?
Kumbe unakubali kuwa anaikopesha, hiyo mikataba iweke hapa la sivyo ni porojo tu, halafu wewe ni uto ila unawashwa washwa na mambo ya simbaMoo hajatoa pesa yoyote Bure Kwa Simba. Pesa za moo Huwa Either ameikopesha Simba au amelipia matangazo ya kampuni zake kupitia Brand ya Simba.,
MeLT group imejitangaza sana kupitia klabu ya Simba tena kwa mikataba ya hovyo kabisa inayoinyonya klabu for example MoXtra ukiambiwa mkataba wake na Simba ni karibu na Bure
Mtoa post ni utopolo aliyetukuka anafahamikaSame member but different ID..
Mtoa post ana kitu cha ziada asikilizwe.
Hizi ni za Mbet bila shaka.