Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Mkuu unaweza Leo kujitokeza ututhibitishie madai haya?
 
...[HASHTAG]#hute[/HASHTAG] una lingine

Ova
 
Kama mtihani wa form 4 tu wenyewe ulifeli, utapataje akili ya kuwakamata wauza madawa ya kulevya???
 
Hata akishinda lakini adabu atakuwa ameipata! Alikuwa ana dharau sana huyu mhindi[/QUOTE

Kwa hiyo lengo ni kushikisha adabu, na wewe unaamini kabisa kutoka rohoni mwako Serikali inapaswa kufanya mambo ya namna hii? Tukiwaita Lunatics mnalalamika. Lakini ukweli ndio huo, jina huwa linatokana na matendo ya watu.
 
Back
Top Bottom