hizo shule zinaitwaje?
Sihitaji kupanic kwa mtu asiyenihusu. Tatizo langu ni upotoshaji wa kisheria, taaluma ambayo mimi mdau.
Mkuu umeua kabisa,,,Eti kama mabanda ya nguruwe..hawa watu wa CCM ni ujanjaujanja tu,hapo ukute ni mipango tu,wamepeana ma milioni tu na CRDB anajifanya kashindwa kurejesha.Coletha Memorial na Bakili Muluzi. Huwezi zisikia maana performance ziro. Alizijenga kama mabanda ya nguruwe kule mbweni mpiji. Kitu cha dhuluma hakiendelei maana alizipata hela haranu wakati alipoenda kumpigia debe la uraisi Bakili Muluzi na ule mgari wa TOT.
Mkuu umeua kabisa,,,Eti kama mabanda ya nguruwe..hawa watu wa CCM ni ujanjaujanja tu,hapo ukute ni mipango tu,wamepeana ma milioni tu na CRDB anajifanya kashindwa kurejesha.
Eti ataenda msituni labda kunya....
Mkuu inaonyesha hata ww sio mdau wa sheria au km ni mdau basi mzembe coz umeshindwa kufahamu kuwa kesi ya madai inamfunga mtu...NOTE. Kesi ya madai mdaiwa anafungwa na mdai anatakiwa kumlipia mdaiwa gharama za matumizi pindi atakapokua jela...
Jamani kama mtu hujui sheria ni vizuri ukaepuka ku-comment kisheria. Tangu lini kesi ya madai ikampeleka mtu jela.
Sihitaji kupanic kwa mtu asiyenihusu. Tatizo langu ni upotoshaji wa kisheria, taaluma ambayo mimi mdau.
Mwenyewe hiyo sheria hujui, kesi ya madai mtu anaenda jela kama kawa, anaenda as civil prisoner ingawaje utaratibu ni tofauti kidogo na kesi za jinai rejea civil procedure Act
Sheria ya mwenendo wa makosa ya MADAI inaruhusu cheki section na order zinazohusiana na kaza hukumu ambapo mdaiwa akishindwa kulipa deni moja kati ya mbinu ni kwa mdai kuiomba mahakama imfunge mdaiwa kama civil prisoner na kifungo hakizidi miezi sita na mdai humlipia gharama za kukaa gerezani mdaiwa bt kifungo hakifuti deni na kinaweza kujirudia lakini si zaidi ya mara tatu YOU CAN SAVE YOURSELF BY FILING MAOMBI YA KUWA DECLARED INSOLVENT
achana na bush lawyer huyo, kuna jamaa yangu amefungwa miaka 3 ukonga na akaambiwa akimaliza kifungo alipe deni.
huyu alitaka kwenda msitu wa mavoooz kule kinondoni