Kuna taarifa kwamba, Yussuf Manji, amechanganyikiwa kwa kula unga, huku baadhi ya watu wakidai kwamba amelogwa na Simba, wakati ndugu zake wakawa wanasema tokea jana alizidisha kubwia unga hadi akachanganyikiwa, na alipokwenda kupimwa Agakhan leo ndio akatoroka na kuendesha gari kwa fujo huku akitaka kugonga akaenda Gymkana Club. Pale club wahindi wenzake walipombembeleza akawa anawatimua hadi ndugu zake na watu wa Yanga, akiwamo Jamal Malinzi ndio wakafanikiwa kumuondoa.
Habari ndio hiyo. Huyo ndiye mfadhili wa CCM na Swahiba wa JK na kundi lake
JF wakati mwingine mhhhhhhhh, haya bwana umesikika...teh teh teh teh teh

Mh!!! Manji naye amekuwa teja??? Haya tunasubiri nondo za uhakika isije kuwa ni udaku tu kutoka kwa washindani wenzake katika ma-deal yao!!!
...Ni kweli Ibra nakubaliana na wewe i'ts funny kwamba watu tunaenda mbio kukimbiza shilingii lakini wenye hizo shilingi za kutosha nao wanafanya mambo ya aibu mbele ya jamii kutokana na shilingi zao.....Sasa sijui lipi bora kuwa na pesa au kuwa nazo kidogo japo za kubadilisha mboga tu???Ndugu yangu, you have to know that money is not everything thats why do not get suprise that those who are said to be prosperous, their lives are a mess!
...Ni kweli Ibra nakubaliana na wewe i'ts funny kwamba watu tunaenda mbio kukimbiza shilingii lakini wenye hizo shilingi za kutosha nao wanafanya mambo ya aibu mbele ya jamii kutokana na shilingi zao.....Sasa sijui lipi bora kuwa na pesa au kuwa nazo kidogo japo za kubadilisha mboga tu???

Kiranja unajua jana ilikua siku ya wahindi(DIWALI) hivyo inawezekana jamaa manji ikawa ndio style yake ya kujirusha.Ila nahisi karibu awe Teja sasaKuna taarifa kwamba, Yussuf Manji, amechanganyikiwa kwa kula unga, huku baadhi ya watu wakidai kwamba amelogwa na Simba, wakati ndugu zake wakawa wanasema tokea jana alizidisha kubwia unga hadi akachanganyikiwa, na alipokwenda kupimwa Agakhan leo ndio akatoroka na kuendesha gari kwa fujo huku akitaka kugonga akaenda Gymkana Club. Pale club wahindi wenzake walipombembeleza akawa anawatimua hadi ndugu zake na watu wa Yanga, akiwamo Jamal Malinzi ndio wakafanikiwa kumuondoa.
Habari ndio hiyo. Huyo ndiye mfadhili wa CCM na Swahiba wa JK na kundi lake
Mimi mtizamo wangu ni kuwa utajiri ni kama uwakili vile. Haimfai mwanasheria kutokusimama thabiti kuwatetea wale walio katika kuonewa. Laiti tungefahamu hili, basi hata Tanzania yetu usingekumbwa na ufisadi kiasi hiki.
Uwakili wa fedha unakuwa hivi, uwe na magari mengi ili wapende wenzio,
ujenge nyumba nyingi ili walale wenzio,
uanzishe/ujenge shule nyingi, ili wasome watoto wa wenzio,
ujenge hospitali nyingi ili watibiwe wenzio,
ujenge barabara ili wapite wenzio,
**bila kusahau kuchangia harusi ili wenzio wakafurahia na wake/waume zao.
Sasa yote haya, waweza kujitendea mwenyewe kwa vile una fedha?, ukiwa na nyumba achilia mbali ukubwa wake, unalala chumba kimoja, ndani ya gari wakalia kiti kimoja n.k
Je, yafaa kuwa milionea halafu ukaishi mwezini mwenyewe?
Wanadamu tunapotea pale tunaposahau kuwa sisi ni mawala tu wa mali iliyomo humu duniani na wala sio wamiliki. Tungefahamu hili, tusingekimbizia fedha hata kama ya ufisadi huko Uswisi, uingereza n.k. Sasa tafakari, je wenye fedha wengi wanajichukulia kama mawakili tu?
Watu wenye majina makubwa na ambao daima wanakumbukwa duniani, ni wale waliotimiza UWAKALA wao kadri walivyoweza, na wala sio wale waliokuwa mamilionea!!
JF wakati mwingine mhhhhhhhh, haya bwana umesikika...teh teh teh teh teh
Labda ndo staili yake ya kukwepa Rungu la JK kwa mafisadi wa EPA. Au Rungu la EPA ndo limemchanganya hadi akabwia dozi kubwa ya ungwa.
.... lakini katika system za Mwalimu Nyerere International Aiport, jina la Yusuf Mehboob Manji, aliyezaliwa Oktoba 14, 1975, mwenye pasi namba AB 052416 ya Tanzania, halijaonekana......