Manji awashukuru Wabunge wa Yanga kurudisha bao 5 walizofungwa Yanga na Simba. asifu uongo wake

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Jana ilikuwa ni chereko chereko mitaa ya Jangwan wakifurahia Team yao ya Wabunge kurudisha kile kipigo walichopata toka Simba cha 5-0. Mashabiki wa Yanga walishukuru sana kwa ushindi huo huku wakimsifu Yusuph Menji aliyeikodi team kwa Uongoz wake Imara na kurudisha hicho kipigo cha aibu.

Na wengine waliomba pia ile team ya wabunge ndo icheze na Simba siku ya Jumamosi.

Mwandishi huyu alipomtembelea mwenyekiti Yusuph Menji naye alionekana alitabasamu wakat wote wa mahojiano na akasema anafurah kuwa ametimiza ahadi yake ya kurudisha mabao yale matano waliyokuwa wamefungwa kipindi kile. Akaenda mbali zaidi na kusema Yanga hii itaenda mbali sana. Kwani anategemea kusajili na wabunge wengine wacheze ligi kuu.
 
Bora wasajili wabunge tu,
Maana kwa kile kikosi chao butu, hakitaweza kupambana na simba fc
 
Kwahiyo unataka kusema kikosi cha sasa cha Yanga kikicheza na Simba kinakula zaidi ya Tano?
Siyo 5 tu, bali kinakula week(7)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ila hizi post muwe munazi sevu.ili oktoba 1 muzirudie kuzisoma tena.mtazamo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…