Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Jana ilikuwa ni chereko chereko mitaa ya Jangwan wakifurahia Team yao ya Wabunge kurudisha kile kipigo walichopata toka Simba cha 5-0. Mashabiki wa Yanga walishukuru sana kwa ushindi huo huku wakimsifu Yusuph Menji aliyeikodi team kwa Uongoz wake Imara na kurudisha hicho kipigo cha aibu.
Na wengine waliomba pia ile team ya wabunge ndo icheze na Simba siku ya Jumamosi.
Mwandishi huyu alipomtembelea mwenyekiti Yusuph Menji naye alionekana alitabasamu wakat wote wa mahojiano na akasema anafurah kuwa ametimiza ahadi yake ya kurudisha mabao yale matano waliyokuwa wamefungwa kipindi kile. Akaenda mbali zaidi na kusema Yanga hii itaenda mbali sana. Kwani anategemea kusajili na wabunge wengine wacheze ligi kuu.