Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakimbilia wapi kama cha kwanza?🤣🤣Mwanachama wa yanga yusuf manji amewasili muda huu kwenye mkutano mkuu wa yanga na kuzua shangwe kubwa nje ya ukumbi na ukumbini
Hii Simba SC ya sasa sio ile mlioizoea kipindi kile cha wahujumu uchumi wenu, hii ya sasa tena waungane na GSM, Rostam na nyie muongeze ile michango yenu ya kwenye mabakuli bado tutawakamua tu.Akirudi rasmi Yanga, Mikia fc na Karia wao ndiyo basi tena! Ubingwa watausikia kwenye redio.
Time will tell bro!!Hii Simba SC ya sasa sio ile mlioizoea kipindi kile cha wahujumu uchumi wenu, hii ya sasa tena waungane na GSM, Rostam na nyie muongeze ile michango yenu ya kwenye mabakuli bado tutawakamua tu.
Atarudi kama mwanachama tu,hana hata mia hapo alipo,mufilisiAkirudi rasmi Yanga, Mikia fc na Karia wao ndiyo basi tena! Ubingwa watausikia kwenye redio.